Nimeachwa na mpenzi wangu, nifanye nini niimudu hali hii?

Olewa
 
kubali kuachika!
 
hu mwez umeanza vibaya asee afazar hata wew mpuuz wako anajibu hata mesej na kukupa sabbu ya kukuacha , mie pia mshenz wangu huku kanilia buyu
, hapokei smu zangu, hajibu sms, wala wasap ana view status na blue tick lkn hajibu kitu,
chaajabu msheni yule nkimtafta kwa nmba ngeni anarespond vizur sana tena kwa ucheshi mkubwa
nikishajitambulisha kuwa ni mimi, simu inakatwa na mesej ndo hazijibiwi tena
yaani daaaa
...Asa namimi nikaue??

mimi uamuz wangu nimesitisha sehem zote tulzokuwa tunachat, mfano wasap, hii nimefuta na siiwek mpka ntakapojilizisha kuwa nikiingia sitopata hisia za kumbukumb zake, pia vdeo na picha ni kufuta, mesej za normal text ni kufuta, call history nayo kufuta, pia kuto ruhusu hisia zozote nzur kumuhus yeye,.

la mwisho nimewekeza muda zaid kwa watot wazur wengine ikiwa ni pamoja na kuchat nao kwa muda mrefu ili kupunguza gap la kumuwasa yule mshenz

note:- Namba yake sifuti, ipo kwa ajili ya dharula na special revenge hapo nitakapopata mwanya wa kulipiza haya alyonfanyia mtoto wa mwanamke mwnzake, naapa humu uyu dem akijirengesha nitamliza mpka mama yake uko aliko tumbo la uzaz limcheze...kama utasoma hii wew fulani jua kuwa I'm waiting you
 
Yan Huu mwez na mm yamenitokea kama Yako,mim nakushauri hata namba ufute tu na usiwaze kulipiza kisasi.Cha msingi songa mbele Tu Wanawake ni Wengi huo mda wa kuwaza kufanya kisasi ebu tafuta pesa ujiendeleze kiuchumi
 
Njoo tutafute pesa wewe afu tukanywe bia ..achana na hizo mambo za mapenzi.yani umuue mtu kisa hakutaki?
 
Ulitupa vyote ukachukua vyote.
Kale ka wimbo ka kumbe ndivyo ulivyo kanasikitisha sana
 
Kwani mkuu ukifuta namba akikutafuta si atajitambulisha, una haribu sana mkuu manzi akikutafuta akajua hukufuta namba yake jua maumivu yatakupiga wewe sio yeye, jiandae kulia tena.
ntamkumbukaj sasa nsipo save nmb yake, wengne tukifutaga nmba, inamaanish tushamfuta huyo mtu kbsa na mission completed, sas m huyu mission bado

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…