Nimeachiwa mtoto ndani ya basi

Mkuu wkt tupo kwny basi tulijadili kuhusu hili, wakubwa wakanishauri nisifanye hivyo, kuna impact kubwa sana.

Acha utani wewe. Soma ushauri wangu hapo juu. Hao watu ni wanasheria??? Just use your brain.
 
Aisee nakuone wivu ukishindwa niambie nipo tayari kukatunza bila kinyongo..na huyo mdada bora alitumia njia hiyo kuliko kwenda kumtupa chooni au shimo la takataka ili aliwe na mbwa.
 
Mpe jina la Baraka kisha mlee kama mwanao mpaka atakapokuw mtu mzima.. Huwezi jua mipango ya Mungu.
 

Ushauri mzuri mkuu.
 
Hongera ila fuata taratibu za kisheria za kukaa nae kibao kisije kukugeukia baadae ukaonekana mteka nyara.
 
Hmm...this is weird! Yaani unakubali tu kuchukua jukumu/ uamuzi wa kumlea mtoto uliyeachiwa kwenye basi na mtu ambaye hata humjui? Je huyo mtu naye akiwa alimuiba huyo mtoto kwingine? Una uhakika gani kama huyo mama aliyekuachia huyo mtoto ndo mama mzazi wa huyo mtoto?

Ingekuwa mimi ningempeleka tu polisi na kumsalimisha huko ili taratibu za kutafuta wazazi au ndugu ziendelee.

Halafu kuna mtu aliwahi kuja na stori kama hii yako hapa.
 
Pole sana Mungu atakujalia mambo yatakwanda shwari..
 

Kaacha copy za vitambulisho na mawasiliano polisi
kama wanataka mtoto wao wamtafute.....
Ungekuwa wewe ....bahati nzuri ni yeye kaamua kumchukua mtoto.
 
Mlee huyo mtoto maana hujui kwanini Mungu ameruhusu hilo litokee kwako nacho amini kwenye gari walikuwepo wengine ambao angeweza kuwaachia piga moyo konde lea huyo malaika
 
Pole sana mkuu pia hongera we mlee tu huyo mtoto kwan huwez jua baadae atakuwa nan na atakufaa vp,kikubwa mshukuru Mungu kwa yote na pokea baraka zake kwa maamuzi uliyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…