Umechukua maamuzi haraka mkuu. Kwanza pole. Pili, hiyo inawezekana ni hali ya mimba kwanini usingemvumilia hadi ajifungue then umsome kama anaendelea na kisirani au vipi.Wabari wakuu na wanaJF,
Natumaini ni wazima wacha niende kwenye mkasa
Mke wangu ni mjamzito sasa mwezi huu wa 11 nilipata safari ya kikazi Dodoma now inaenda wiki ya 3 lakini baada ya kuondoka home...
Shukrani wakuu
Umechukua maamuzi haraka mkuu. Kwanza pole. Pili, hiyo inawezekana ni hali ya mimba kwanini usingemvumilia hadi ajifungue then umsome kama anaendelea na kisirani au vipi.
By the way nimetoka kusoma mada yako ya oct 20 2022 umekiri kumchukia mke wako ilhali yeye anakupenda. Na hujui sababu ya kumchukia. Sasa hii mada ya leo imetoka wapi?
Are you bipolar? Umekuja kutusimulia ili u justify maamuzi yako? Something is wrong somewhere
Ilikuwa sio wakati sahihi kwako kuchukua maamuzi ya kumuacha/ kuachana,Mke wangu ni mjamzito, sasa mwezi huu wa 11
Wewe inaoneknan pia una matatizo na MKE umemchoka kiaina , kabla sijaendelea ndoa yenu Ina umri ganiMkuu nikweli lakini acha kwanza nipumue