Usimuache. Wakati wa kelele acha azipige weee atanyamaza tu. Akipiga simu kwa ajili ya ugomvi pokea weka laud endelea na mambo mengine ataongea weweee vocha itaisha. Usitafute usuluhishi nje. Furahia maisha kwa namna nyingine. Mwanamke wa kuacha ni mzinzi, muuaji na mchawi, mengine ni kuyachukulia kama ya mtoto mjinga.
Bado huna sababu ya kumwacha mke wako, subiri mke wako ajifungue, atakaa sawa. Ikiwa changamoto ni mimba itajulikana, ikiwa tatizo lipo kiroho itajulikana, na ikiwa tatizo linasababishwa na wewe napo itajulikana. Tunapaswa kuelewa mwanamke mjamzito anahitaji ukaribu wa mume wake, anapoukosa na mawasiliano yakawa hafifu ujue umetengeneza mgogoro mwenyewe. Acha kutangaza kumwacha mke sio sifa, Kaa tulia, tumia akili, mambo yatakuwa sawa.
Amekuchukia kwasababu ya mimba na anavyofanya ivyo moyoni mwake anakuwa na amani sana,usijali mwanamke akikuchukia sana anakuletea kopi yako,akishajifungua utashangaa anabadilika kabisa
Achana na Dada yake wote lao moja- speaking from experience.
Cha muhimu umeupiga mwingi sana umeweza kutemana naye.
Mtihani wa mwisho kwako no baada ya mtoto kuzaliwa,je hutamfeel na kuona anahitaji mapenzi ya baba na mama?