Nimeachana na mke wangu leo

Mie nadhani ungekuja hapa na malalamiko, kwamba hakusikilizi wala hakuheshimu ili tukushauri namna ya kumaliza tatizo.
Sasa ndugu unakuja tuu na bango la talaka sasa tusemeje ??
" basi sawa" toa namba yaje hapa tuwasiliane naye. Kama kweli umemwacha. Kuna watu humu wanataka kuoa, huyo atafaa sana maana ana experience.
 
Dah! Umasikini mbaya sana. Ungekuwa na pesa mfukoni, angekuheshimu vya kutosha. Yani ukikohoa anakuja mbio, 'Umeniita'?
 
Fukuza tu. Kwani shingap bn

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Hicho tu. Kama uliridhika na tabia hizo tangia mwanzo ulitegemea nini. Jifunze kuzungumza na mkeo pasi kuwa na maamuzi ya haraka haraka kiasi hicho.

Hakuna binadamu mkamilifu we pia una mapungufu yako na alikuwa anayavumilia.

Utaacha wangapi dunia ya leo?
 
Wanaume wanaoheshimiwa na kusikilizwa ni wale wanaoheshimu na kusikiliza. Kama hajaheshimiwa na kusikilizwa basi naye hajaheshimu na kusikiliza.

Ataendelea kuacha sana, hivyo atakaenasa kwa huyo free agent beware...

Una maanisha 50:50?
 
Mwanaume akikuchoka kukutafutia sababu hashindwi mkuu

Kuna memba humu namfahamu alimfukuza mke ake kwa maneno yanayouma sana. Alimwambia 'kwanza we hunigeged vZr kama x wangu'. Seriously waliachana mpk sasa hawakai pamoja.

Jamaa aliumia sanaaaa sikien kwa watu tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…