neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 376
- 355
Andika Ohio program Kwenye google na ufuate maelekezonajiungaje na hio programme
Andika Ohio program Kwenye google na ufuate maelekezonajiungaje na hio programme
Endelea kupumzikaNina degree ya HR ni mwaka sasa tangu nimemaliza ila sijafanya jitihada za kutafuta kazi nipo tu nimeamua kuupa mwili na akili wasaa wa kupumzika, vipi nakosea ama nipo sahihi?
hahahahaha, kauliyako imekaa kimkakati sana. Sema nimesoma Cuba nshakuelewa.Endelea kupumzika
I like the way u think maana sio kila kazi ni solution to your problem Kuna some jobs is just a waste of your energy and time. I think we should not concentrate on getting employed sometimesushauri wangu,
1. soma driving alafu anzisha kampuni yako (ni rahisi sana kuanzisha kampuni yani kuisajili nafahamu vijana waliofanya hivo na sio kwamba wana pesa), hivo hapo unakuwa umejiajiri unaingiza pesa kupitia kilimo ambacho ndio umesomea
badae utatumia hiyo experience kuomba kazi au utakuwa mfanyabiashara, sio lazima uajiriwe kama utakuwa unaingiza pesa
Shida ni kwamba wabongo wengi tuna chagua kozi ilimradi tu tufike chuo sio kwa sababu tuna plan nayo! Anyway huwezi mlaumu moja kwa moja ila nna sikitika sana mtu mwenye degree ya horticulture kusema hana ajira yaani anangoja ajira!!Wewe huhitaji kuajiriwa, wewe unahitaji acre moja au mbili tuu sehemu yenye maji, fanya research ya masoko ya mboga mboga, andika plan nzuri namna ya kuzalisha then anza kutafuta mitaji kwa ndugu, marafiki ,mikopo au kupiga vibarua, mboga mboga zina soko kubwa sana na zinakua kwa muda mfupi sana, ni kazi ngumu lakini determination and hard work zitakutoa na hautafikiria tena kuajiriwa na mtu yeyote and you will make money!!!
Hiyo sentensi ya mwisho nimeikubali, sasa muulize kama hata hiyo linkedln anaijua!!Jaribu kuomba intern kwenye NGO kama TAHA,Rizwajz,Balton na Zamseed,SeedCo.
Pia tengeneza profile yako kwenye mtandao professional wa linkeid .
Hata zile nafasi za mafunzo kwa vijana wizara ya kilimo walitoa mwezi wa kwanza hukuona?Habari wana JF
Naomba mnishauri maana nmekwama. Jinsia yangu ni KE nina Degree ya Horticulture ni mambo ya kilimo cha mbogamboga, matunda, maua n.k
Sasa nmemaliza chuo yapata miaka mi5 sasa na sijawahi kuajiriwa yani sina experience kabisa na kazi ninazoziona za hii kozi ni zinataka experience ya kutosha na pia mara nyingi wanakuwa wanataka mtu anayejua kuendesha na pikipiki hali inayopelekea kutokidhi vigezo vya kazi husika
Hivyo nikaona bora nianze kutafuta kazi zinazohitaji tu mtu mwenye degree yoyote au zinazohitaji elimu chini ya apo.
Nawauliza je nipo sawa au? Nahitaji mashauri yenu
Kaombe japo kujitolea. Ni muhimu maana mazingira ya kukaa ofisini huwa yanajenga confidence.Nina degree ya HR ni mwaka sasa tangu nimemaliza ila sijafanya jitihada za kutafuta kazi nipo tu nimeamua kuupa mwili na akili wasaa wa kupumzika, vipi nakosea ama nipo sahihi?
Hi, mimi ni kijana jinsia ya kiume, ni afisa kilimo H/W tunduru. Nina mpango wa kwenda kuchukua degree SUA course ya horticulture hvyo naomba kwa wazoef ambao mmewahi kuisoma hyo course juu ya ugumu, changamoto na faida zake ahsanteHabari wana JF
Naomba mnishauri maana nmekwama. Jinsia yangu ni KE nina Degree ya Horticulture ni mambo ya kilimo cha mbogamboga, matunda, maua n.k
Sasa nmemaliza chuo yapata miaka mi5 sasa na sijawahi kuajiriwa yani sina experience kabisa na kazi ninazoziona za hii kozi ni zinataka experience ya kutosha na pia mara nyingi wanakuwa wanataka mtu anayejua kuendesha na pikipiki hali inayopelekea kutokidhi vigezo vya kazi husika
Hivyo nikaona bora nianze kutafuta kazi zinazohitaji tu mtu mwenye degree yoyote au zinazohitaji elimu chini ya apo.
Nawauliza je nipo sawa au? Nahitaji mashauri yenu
Hebu jaribu kuangalia upande wa jeshi la kujenga taifa kama umri na afya ni rafiki, pale ukifanikiwa utakuwa na nafasi nzuri kwakuwa wanahitaji kujikita kwenye kilimo Cha kisasa zaidi,, ni swala la kujitoa tu ili kufikia maono yako!,Habari wana JF