Nimeacha kuomba kazi za kozi niliyosoma

Nimeacha kuomba kazi za kozi niliyosoma

Missandei

Member
Joined
Apr 21, 2023
Posts
58
Reaction score
87
Habari wana JF

Naomba mnishauri maana nmekwama. Jinsia yangu ni KE nina Degree ya Horticulture ni mambo ya kilimo cha mbogamboga, matunda, maua n.k

Sasa nmemaliza chuo yapata miaka mi5 sasa na sijawahi kuajiriwa yani sina experience kabisa na kazi ninazoziona za hii kozi ni zinataka experience ya kutosha na pia mara nyingi wanakuwa wanataka mtu anayejua kuendesha na pikipiki hali inayopelekea kutokidhi vigezo vya kazi husika

Hivyo nikaona bora nianze kutafuta kazi zinazohitaji tu mtu mwenye degree yoyote au zinazohitaji elimu chini ya apo.

Nawauliza je nipo sawa au? Nahitaji mashauri yenu
 
ushauri wangu,
1. soma driving alafu anzisha kampuni yako (ni rahisi sana kuanzisha kampuni yani kuisajili nafahamu vijana waliofanya hivo na sio kwamba wana pesa), hivo hapo unakuwa umejiajiri unaingiza pesa kupitia kilimo ambacho ndio umesomea

badae utatumia hiyo experience kuomba kazi au utakuwa mfanyabiashara, sio lazima uajiriwe kama utakuwa unaingiza pesa
 
Ushauri mzuri
 
Wazo zuri, asantee
 
Nina degree ya HR ni mwaka sasa tangu nimemaliza ila sijafanya jitihada za kutafuta kazi nipo tu nimeamua kuupa mwili na akili wasaa wa kupumzika, vipi nakosea ama nipo sahihi?
Km lengo lako ni ajira,nakushauri uanze kutafuta hata internship(japo Wana JF wengi wanaponda kaa ukijua siku ukiitwa interview hasa private watakuuliza miaka hiyo ambayo kwenye CV yako lipo deshi ulikuwa unafanya nin? Jinsi utakavyojibu ndivyo wataamua wakupe kazi au laa,je unaweza fikilia jibu lako atalichukuliaje HR?
 
Habari wana JF

Naomba mnishauri maana nmekwama. Jinsia yangu ni KE nina Degree ya Horticulture ni mambo ya kilimo cha mbogamboga, matunda, maua n.k

Sasa nmemaliza chuo yapata miaka mi5 sasa na sijawahi kuajiriwa yani sina experience kabisa na kazi ninazoziona za hii kozi ni zinataka experience ya kutosha na pia mara nyingi wanakuwa wanataka mtu anayejua kuendesha na pikipiki hali inayopelekea kutokidhi vigezo vya kazi husika

Hivyo nikaona bora nianze kutafuta kazi zinazohitaji tu mtu mwenye degree yoyote au zinazohitaji elimu chini ya apo.

Nawauliza je nipo sawa au? Nahitaji mashauri yenu
Ajira ya kilimo imetangazwa juzi Juzi omba hizo nafasi. Mimi nilosoma hapo hapo SUA.. horticulture wanatafutwa Sana kwenye halmashauri kwaajili ya kilimo cha mboga na matunda
 
Habari wana JF

Naomba mnishauri maana nmekwama. Jinsia yangu ni KE nina Degree ya Horticulture ni mambo ya kilimo cha mbogamboga, matunda, maua n.k

Sasa nmemaliza chuo yapata miaka mi5 sasa na sijawahi kuajiriwa yani sina experience kabisa na kazi ninazoziona za hii kozi ni zinataka experience ya kutosha na pia mara nyingi wanakuwa wanataka mtu anayejua kuendesha na pikipiki hali inayopelekea kutokidhi vigezo vya kazi husika

Hivyo nikaona bora nianze kutafuta kazi zinazohitaji tu mtu mwenye degree yoyote au zinazohitaji elimu chini ya apo.

Nawauliza je nipo sawa au? Nahitaji mash

Kuna program ya marekani inaitwa Ohio program jaribu hiyo wanataka wats wa horticulture.
 
.
Screenshot_20230426_201854_Samsung%20Internet.jpg
 
Habari wana JF

Naomba mnishauri maana nmekwama. Jinsia yangu ni KE nina Degree ya Horticulture ni mambo ya kilimo cha mbogamboga, matunda, maua n.k

Sasa nmemaliza chuo yapata miaka mi5 sasa na sijawahi kuajiriwa yani sina experience kabisa na kazi ninazoziona za hii kozi ni zinataka experience ya kutosha na pia mara nyingi wanakuwa wanataka mtu anayejua kuendesha na pikipiki hali inayopelekea kutokidhi vigezo vya kazi husika

Hivyo nikaona bora nianze kutafuta kazi zinazohitaji tu mtu mwenye degree yoyote au zinazohitaji elimu chini ya apo.

Nawauliza je nipo sawa au? Nahitaji mashauri yenu
Kwa nini usifanye maamuzi magumu ya kuondokana na hayo mawazo ya kuishi kama mtumwa!!! Ungeamua kujiajiri, ndani ya miaka michache tu ungekuwa mbali sana kiuchumi.
 
Back
Top Bottom