YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,033
Mwizi mwingine huyu hapa mwiziiii,mwiziiii ,mwiziiii,mwiziiiiiHijaibiwa ,Punguza wenge kwanza Mara nyingi wanafanya hivyo ukiwa umetumia Multiple Account ili regularise llinabidi udeposit $600
Mwizi mwingine huyu hapa mwiziiii,mwiziiii ,mwiziiii,mwiziiiiiHijaibiwa ,Punguza wenge kwanza Mara nyingi wanafanya hivyo ukiwa umetumia Multiple Account ili regularise llinabidi udeposit $600
Ndio hivyo dola 200 zimeenda.Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!
Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa
(the name of the company is swiftcryptoexpress)
Penda kujifunza, usipende shortcut.Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!
Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa
(the name of the company is swiftcryptoexpress)
Unambiwa umeshinda $100,000/ mchezo wenyewe hujawahi kuchezaMbona mi natumiwaga hizo msg bila ku-trade!!!
Hahaha! Onisecha sanaUshapigwa hapo $200×2300 =460,000. Sasa wazawadie tena na hiyo $600×2300 = 1,380,000.
Hii mambo mengine bhana, sagala duhu.
Lipia si unajua ni shilingi ngapi za kibongo ...mkipatikana 10 wanafungua ingineHabar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!
Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa
(the name of the company is swiftcryptoexpress)
Aibu uwe nayo kiasi ufiche upumbavu wako.Mwizi mwingine huyu hapa mwiziiii,mwiziiii ,mwiziiii,mwiziiiii
Kaka acha tuYaani ulipie hela yako? Si wakate juu kwa juu! Au ndo mambo ya kina dk shika?
Hahahha, mkuu poleForex nusura ivuruge ndoa yangu
Da!Rayvany:Unaibiwaaaa unaibiwaaaa wanajitia wa tuwazuri ukitia tu hako kadola 600 umeishaaaa
Aibu uwe nayo kiasi ufiche upumbavu wako.
Utaniuwa kwa pressureLipia si unajua ni shilingi ngapi za kibongo ...mkipatikana 10 wanafungua ingine
Nishachoka tyrUtapigwaa mpaka uchakaeee