Nime-trade $200 nikapata $4000

Nime-trade $200 nikapata $4000

Mfano ndo inakuwa Real Account 😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • 2019_12_11_14.18.36.png
    2019_12_11_14.18.36.png
    24 KB · Views: 9
Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!

Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa

(the name of the company is swiftcryptoexpress)
Umeshamegwa hakuna broker wa ivi.
 
😛
Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!

Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa

(the name of the company is swiftcryptoexpress)
Ushauri ni kwamba hicho kishika uchumba cha $600 ni kidogo sana mkuu hivyo tuma kabisa $1,500 ili uwe na uhakika na mchumba wako umtakaye ($4,000)
Nakutakia Christmas njema na Mwaka Mpya vile vile 🤣
 
Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!

Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa

(the name of the company is swiftcryptoexpress)
Tamaa ilimponza fisi
 
Yaani ili upate hela inabidi utume hela kweli wanaijeria sio watu wazuri kabisa .....utakuwa maskini muda mfupi

Wengi wamelizwa sana na forex hao ni matapeli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom