Nime-trade $200 nikapata $4000

Nime-trade $200 nikapata $4000

DVC

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
219
Reaction score
215
Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!

Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa

(the name of the company is swiftcryptoexpress)
 
Ndugu unaibiwa
Wa Naija wako kazini hapo
Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!

Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa

(the name of the company is swiftcryptoexpress)
 
Wanaijeria siyo watu wazuri,
Na hizo dola 200 unazosema umetrade ukute zimeenda na maji,
Hapo hapo unaambiwa utume dola nyingine 600 ili uweze kuzikomboa dola 4,000.
Mimi siyo mtaalamu wa forex (biashara za mtandao kwa ujumla). Ila hapa najaribu kufikiria tu kwa sauti.
Ila watu hatulingani, huenda wewe kutoa dola 600 siyo swala gumu/ajabu kwako! Heri ya Krismas na Mwaka mpya.
 
Akina chineke siyo watu wazuri. Kabla ya kutrade muwe mnafanya research kujua broker wa uhakika.
Umeliwa na ukizubaa utaliwa zaidi
Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!

Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa

(the name of the company is swiftcryptoexpress)
 
Habar wakubwaa nimejiunga na moja ya makampuni ya forex inayoitwaa "swiftcryptoexpress" na kutrade nikata $4000 , ishu inakujq hapa!! Wanasema ili niweze kuchomoa hii hela lazima nilipe $ 600 ndo niweze kupata hyo hela!!

Please mwenye kujua hili naomba msaadaaa

(the name of the company is swiftcryptoexpress)
that is 419 online scam.This
advance-fee fraud, also known as a 419 fraud, is a type of scam in which the victim is convinced to advance money to a stranger. In all such scams, the victim is led to expect that a much larger sum of money will be returned to him or her. The victim, of course, never receives any of this money.

.
 
Hijaibiwa ,Punguza wenge kwanza Mara nyingi wanafanya hivyo ukiwa umetumia Multiple Account ili regularise llinabidi udeposit $600
 
Back
Top Bottom