Haya nimekusoma mkuu haina shaka juu ya hilo,ni suala la uamuzi tu wa kupanga ni namna gani unataka kuishiHilo halikuhusu chalii.
Lakini hata kama niko peke yangu au tuko wengi cha muhimu ni kula nyasi kutokana na urefu
wa kamba yako.
Huwezi kua na 5M bank,unataka kuoa,sawa,afu unataka harusi ufanye kwa 20M.
Zinatoka wapi?
Eti kwangu kwakua mimi kaka yako?Ujinga huo,nenda kanisani,funga ndoa,fanya party ndogo nyumbani
mambo yaishe.
TATIZO LETU NI KUFANYA JAMBO ILI KUJIOSHESHA NA KUFURAHISHA WENGINE.
Binafsi nakuunga mkono ila si kuacha kabisa kutoa michango. Kama tayari umeoa utajua ni kwa jinsi gani harusi ilivyo na gharama mbaya zaidi utakuta uliwahi kuchangiwa sasa kwa nini usiwachangie wenzio? Kumbuka tunatoa ahadi wenyewe hivyo toa ahadi ambayo iko ndani ya uwezo wako na siyo kufanya mashindano ya nani kaahidi zaidi.
unazidi kuumiza moyo wangu ujue!ah niache bana hapa nishatoa wa ya kitchen party miwili na sare za kitenge juu!
hahaha..unajua mimi kuna harusi kama nne hivi zimepangana. Halafu kiwango cha chini ni buku 50, hapo hujanunua na kijizawadi, hujaweka wese kwenye gari siku ya harusi...na yote hayo unatakiwa uyafanye ndani ya mwezi mmoja, nusu ya mshahara unadedicate kwa ajili ya harusi tu.
Laiti kama tungebadilika na kulifanya tukio la harusi kuwa la kifamilia zaidi wala kusingekuwa na kuumiza namna hii.
udalali muhimu wangu!kichuri mh,hapa nimechemsha!Ha ha ha,umeanza udalali humu humu?
hauwezi bana,kitu cha KIKURYA huwezi pika kichuri wewe.
we acha kabisa watu8,huu mwezi huu,kha!hahaha..unajua mimi kuna harusi kama nne hivi zimepangana. Halafu kiwango cha chini ni buku 50, hapo hujanunua na kijizawadi, hujaweka wese kwenye gari siku ya harusi...na yote hayo unatakiwa uyafanye ndani ya mwezi mmoja, nusu ya mshahara unadedicate kwa ajili ya harusi tu.
Laiti kama tungebadilika na kulifanya tukio la harusi kuwa la kifamilia zaidi wala kusingekuwa na kuumiza namna hii.
Kweli ni ujinga mtupu...sherehe ya masaa inagharimu mamilioni...leave aside muda watu wanaoutumia kupanga sherehe iweje na kukusanya michango...Hii kitu ipigwe marufuku aisee. Kama ni kuoa mwende wawili na wazazi kama ubatizo.
We need to change na si kulalamika serikali inajua kutumbua ela wakati hiyo ni culture ya Tanzania
Ha ha ha,umeona eh?
Hiyo ni aina ya "supu" hivi, (usitake ujue inatokana na nini) ambayo unaandalia
wageni kabla ya kuwapa nyama choma au chakula kingine.
nilienda maeneo hayo nikaletewa nyama choma na ugali mwekundu pembeni chachandu kuuliza nini nikaambiwa kichuri khaaa Speaker nini tena ya ng'ombe
Sherehe ya harusi inagharimu mil 30, umepanga Tandale, hizi ni akili sana
mie mbona nishaanza siku nyingi sanaaa (since May 2012)
na wala bado sijaoa.................................................
Nakuunga mkono, mguu, mawazo, etc!!!
Somehow somewhere we need to change! real change!!!
Safi sana,kwa kuanzia mimi nitatoa michango ya week juzi tu niliyo ahidi.
Jana nashukuru niliondoka kabla hawajaanza kuropoka "PLEJEZ"