G Mpoleeee
Senior Member
- Feb 9, 2012
- 153
- 16
- Thread starter
-
- #21
aisee kozi nzuri sana iyo,ina market sana..kuna jamaa zangu wengi kwenye kampuni zao wanatafuta sana watu kama wewe..tuendelee kuwasiliana tu..vipi upo hostel au unatokea home?
kaka naona spidi mia kama kawaidaaisee kozi nzuri sana iyo,ina market sana..kuna jamaa zangu wengi kwenye kampuni zao wanatafuta sana watu kama wewe..tuendelee kuwasiliana tu..vipi upo hostel au unatokea home?
kaka naona spidi mia kama kawaida
kaka naona spidi mia kama kawaida
nipo hostel. Jamaa zako wana kampni kubwa kubwa?
mwngalie kule! Jama kajlengesha unamkata stim!
safi sana,unajua kukaa hostel inakuongezea mda mzuri wa kuconcentrate..
Jamaa zangu wana kampun kubwa tu,za kuimport na kuexport bidhaa mbalimbali haswa magari,ata ukitaka gari kwa bei nzuri tunaweza kukuagizia,majina ya kampun nitakuPM sunajua hapa macho mengi.
Vp lakini mbona huwa unapotea sana lakin??huwa namiss sn swaga zako.
Mmmh! hapa naona wote wajanja sijui atakaetangulia kulia ni nani?
kuna Id nahisi zitaunganishwa mda si mlefu.
Makubwa!!! haya tupe iyo airtel na mimi uniuzie kidogo, ya laki mbili hamna? au ni kuanzia milioni moja na kuendelea tu?hizo dall za woga. Cpend me woga kwan watakujua kwa haya mafeki id? Ww bwabwaja yote hapa tumalzane! Sasa usianze kutoa ahad ambazo huwez kamilsha. Ukinipa 1 M mm poa tu. Na hunigus bila kukabdh mshiko tukionana. Hakksha umejinga na airtel mane kabla ya lolote waniingizia then maongez yuatafuata.
Makubwa!!! haya tupe iyo airtel na mimi uniuzie kidogo, ya laki mbili hamna? au ni kuanzia milioni moja na kuendelea tu?
hizo dall za woga. Cpend me woga kwan watakujua kwa haya mafeki id? Ww bwabwaja yote hapa tumalzane! Sasa usianze kutoa ahad ambazo huwez kamilsha. Ukinipa 1 M mm poa tu. Na hunigus bila kukabdh mshiko tukionana. Hakksha umejinga na airtel mane kabla ya lolote waniingizia then maongez yuatafuata.
ngoja niwasiliane na mod asimban maana kabla hajaniuzia kidogo, maana kumbe naweza kubargainG. Mpoleeeeeee hebu nambia kwa nn kila siku wanakupa ban
Jana nakutafuna naona ban ,nini mbaya na wewe bi mdogo?
nina nne unusu, jpo cha fasta basi au vipi?toka lin tren ya umeme ikapita kwenye reli ya kienyej? Sbb ni ww fanya lak 9 na 90.
G. Mpoleeeeeee hebu nambia kwa nn kila siku wanakupa ban
Jana nakutafuna naona ban ,nini mbaya na wewe bi mdogo?
hivo ilo jna nia yako iwe bubu ukakosea kutyp? Ndio unalo hili tu la koungea?
chill out babie!
Unajua we Mpole unastahili kitu special sana kama we mwenyewe,the Golden Mpole with golden swagg..mtoto wa ukweli sana.
Twende sawa tu utapata zaidi ya unachoitaji,malaika wazuri kama wewe wanaitaji vitu spesho..
nina nne unusu, jpo cha fasta basi au vipi?