G Mpoleeee
Senior Member
- Feb 9, 2012
- 153
- 16
Hakuna tatizo, nimesikitika vile GM kala ban. Na wewe kwa nini umeiga jina la mwenzio?kwan vip?
Hakuna tatizo, nimesikitika vile GM kala ban. Na wewe kwa nini umeiga jina la mwenzio?
Hivi haya matokeo yaliyotangazwa jana hayawahusu?
G mpolee hujaandika bongo flava kweli kwenye pepa yako?
pepa ya nn? Mbon ckuelewi elewi?
kuhusu matokeo yaliyotangazwa umepata divisioni ngapi?
hamchelewi kudge! Ningekua f.4 liva ningefel ningekua cna hal ya kuingia jamii ninge faulu ningekua mitaan kujijgamba kwa wenzang kama hao madog wanavyofanyag. mm nipo college kwa taarifa yako!
hamchelewi kudge! Ningekua f.4 liva ningefel ningekua cna hal ya kuingia jamii ninge faulu ningekua mitaan kujijgamba kwa wenzang kama hao madog wanavyofanyag. mm nipo college kwa taarifa yako!
upo college gani best?
kile ambacho ukiwa jijin mpaka upande panthon.
hongera best,nimekusoma.huwa natembelea sana pande izo..unachukua kozi gani pale?
Dah!....umejiunga leo. Hivi kuna maana gani kuwa na ID zaidi ya moja?
store mangmnt.