Nime Delete Files kwa Bahati Mbaya Nitapataje Tena

Na zile key pale nitachagua zozote zile si ndio?

Pia wakati na install nimefika sehemu wananiuliza kama nichague automatically close tha applications au do not close the applications nichague ipi?
key chukua moja inayofanya kazi,afu kama imemaliza kuinstall unaeza close na kuilaunch from desktop icon
 
software,,
Nimejaribu kuchagua automatically close wakaniletea pia nichague kati ta hizi,

1) try closing these applications automatically (recommended)
2)i have closed the applications manually
3) skip and continue without closing( reboot will be required)

Hapo nichague ipi
 
1
 
km ni pics kwny gallery anza na hii install restore image,zitarudi picha zot zilizowahi kupitia kwny hiy cm whethr zilpigwa kw kutumia hy camera ya cm,kutumwa watsp,na image za no za watu wot ambao wako watsp ambazo no zao eithr umefuta o zile za kawida zot zitaappear utachagua mwenyw!
hata ziwe za miaka gn zitarudi icwe tu km cm uliiflash!
 
Hiyo inakuaje mkuu
 
Fungua Software yako afu chagua volume label ya sim yako,itakwepo kwenye option apo
Mkuu sahizi naona tatizo ninalo lipata ni katika Activation code zile zimegoma zote nahisi mpka niifanyie activation ndo nitaweza sijui nitaifanyiaje mkuu au nipate ambayo ipo activated
 
mkuu wenda yalikua ni mabaya ndio maana yamefutika!! mungu anakuepusha na mengi!!!
 
Habarini....http://Naombeni msaada najua kupitia hili langu nawengine watajifunza,pia najua halipo lisilo wezekana!

Nilikuwa nataka kudelete baadhi ya files katika simu yangu inayo tumia android system bahati mbaya nikaselect files zote na kudelete ikiwa imefika 45% nika cancel kwenda kwenye galley naona picha sizioni nikija kwenye file manager ya simu yangu naona tu hizo files zikiwa hazina picha moja tu la bluetooth lina picha chache ila whatsapp na mengine hayana Picha nikiangalia Memory naona kama ni picha chache zilizo futika

Nahitaji kurudisha vitu vyangu vyote kama ilivyo kuwa mwanzo je nifanyaje msaada tafadhari nimejaribu kurestart lakini imegoma
Hi, tumia hii kitu Hard Drive Data Recovery Software. Free Download Disk Data Recovery Tool - EaseUS Data Recovery Wizard Professional utapata files zako zote. Download kwenye computer,instal then unga simu yako na computer baada ya hapo utachagua drive ambako hizo picha/files zilikuwa utazipata bila wasi. Hiyo software ni free kwa 900MB. Baada ya hapo unainunua na kuendelea kula maisha. Kwa sababu unahitaji picha, select picha tu ili kutozidisha hiyo limit maana waweza select na music ukazidisha limit. Kazi kwako
 
ngoja nifanye kazi mkuu nakupa mrejesho
 
Mkuu hii nilisha itumia kwenye pc yangu ikanirudishia picha za kwenyr Camera File tuu sasa bado file jingine nikiitumia sahizi wanataka licence Code kuna file la whatsapp ndo nataka nilirudishe na mengine
 
Utakuwa ushaexceed limit ya 900MB. Hapo ni either kusaka nyingine au kuinunia/kuilipia hiyo
 
Bro key hizo uctumie ukiwa connected net
Mkuu kuna mtu humu amenisaidia sana + wewe na wengine kufanikisha hili suala lakini tatizo ni moja picha zilizo kuwa whatsapp na screenshoot hazija rudi hapo ndo msaada tafadhari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom