Wakati una search na hilo neno cracked pia uliandike.Nitajuaje kuwa ipo cracked
Ngoja niingie mzigoni nitakutaarifu mkuu kwenye tatizoWakati una search na hilo neno cracked pia uliandike.
Mkuu unaweza nisaidia link ya hiyo covery please mimi nazunguka hata siipatikama una PC tafuta program inaitwa es us data recovery ..iwashe PC yako chomeka USB cable seti simu kama unataka kutransfer mafaili kwa PC to simu ...baada ya hapo click es us data recovery , ikisha funguka nenda kwenye sehem inapo onesha memory ya simu (kama ni internal au external memory inategemea na ulipo kuwa umeziweka) click itakuletea option ya kuselect vilivyo kuwa vimedilitiwa utarudisha mpaka vya mwaka juzii
Nikiwa chuo ticha aliazima flash kwa mwanafunzi tulokuwa tunasoma nae kumbe alikuwa anaenda kutunga mtihani akahamishie kwa flash then akapeleka kwa libralian baada ya hapo akafuta lile faili la mtihani na kuirudisha flash kwa mwanafunzi ..kumbe majamaa walikuwa wanamchora alipo sepa tu flash ikafanyiwa recovery mtihani ukaja mzima mzima ..wee tukausolve kesho yake ilikuwa kama tunafanya rehersal
Unaweza nisaidia link mkuu maana nimetafuta hadi nimechokaMkuu hiyo ishu inawezekana vizuri tu.
Mimi ilishanitokea nikafanikiwa kurudisha picha nk,
ila inahitaji uwe na pc.
Amesema ni simu sio PC.File za aina gani? kwenye pc? Kama ni za kawaida nenda kwenye Recycle Bin ukizikuta restore zitarudi
Mimi nimeshangaa baadhi ya wachangiaji wanasema haiwezekani wakati inawezekana vizuri tu.Nishafanya sana na vitu vinarudi labda kama ulifuta muda mrefu
Inaezekana sana mi Mara kibao nafanyaMimi nimeshangaa baadhi ya wachangiaji wanasema haiwezekani wakati inawezekana vizuri tu.
Mm nimejaribu kumpa maelekezo inbox lkn mtandao chenga kinoma.
Asante mkuu nimeifungua pale kwenye kudownload kuna option nyingi sijajua na select ipi kati ya zile ambayo itanipa exactly file au hyo softwareInaezekana sana mi Mara kibao nafanya
software,,Asante mkuu nimeifungua pale kwenye kudownload kuna option nyingi sijajua na select ipi kati ya zile ambayo itanipa exactly file au hyo software
au tumia hii official site Data recovery software download: Get Recover My Files heresoftware,,
Na zile key pale nitachagua zozote zile si ndio?software,,
then key ukachukue kwene ile site ya mwanzoau tumia hii official site Data recovery software download: Get Recover My Files here