Niludiane naye au Nimkatae maana Naogopa

Niludiane naye au Nimkatae maana Naogopa

wewe moyo wako unasemaje kuhusu uyo msichana,?
tuanzie apo kwanza
Me nipo njia panda kabisa sielewi but mwanzo ulikataa moyo but anavyozidi kuomba omba msamaha nabaki njia panda
 
Aaahhh vere simpo....... Ningumu kumsahau mwanamke unayempenda ..lkn mwanamke anayekupenda kukusahau nirahisi sana.

Ivo basi, Jeuri weka pemben yes alifanya maamuxi kwa hasira ,akili yahaikua yake.


Sema nn..katika hasira na utani huwa mambo haya yanakuapo
[emoji117]Ukweli ambao upo moyon mwake
[emoji117]Ukweli wa Uongo sababu ya Hasira .

Hivo basi, yapime kwa akili maneno yake alafu uamuzi ni wazo!!
Dah mkuu ni kweli ila kama yeye na dada yake awaongei tena sasa mm ndo nimekuwa sababu unafikili hayo Mahusiano ya mimi na yeye yatakuwa salama kweli ata kwa wazazi?
 
Bado hujakutana na sababu ya kuachana nae mzee... mrudie tu... watu wanapigiwa na wanasamehe mzee
Mmh tatizo alivyonitumia hiyo txt bac akaenda kuwaambia marafiki zake now yule sio mtu wangu, kwanza malaya anatembea na dada yangu.. kiukweli nilidharaulika.. afu huyo huyo anakuja tena kuomba msamaha dah
 
Sema na moyo wako kisha fanya kile unachozani ni sahihi kitachotokea utajua mbele ya safari
Moyo kuna viwili vinajibu moja inasema hapana nisiludi nitaonekana fala sababu alinichafua.. mbili inasema niende (bila kujali wat next) ndo maana nikaja hapa
 
Ilmradu kajirud mrudie tu haina shida pia hongera kwa moyo huo... Niwachache wana nahisi nisingewanaweza kumuacha dadayake
Hahaha mkuu we nouma sana!! Mimi kiukweli maswala ya kutembea na dada na mdogo mtu sijawai na sitawai sababu najua nitasababisha chuki ya kudumu kwenye maisha yao
 
Hayo maneno ya hatari ya whatsapp hebu yaweke hapa upate ushauri vizuri

Otherwise alikua na haki ya kuja juu baada ya kuambiwa ulitembea na dada yake. Na wewe badala ya kujieleza ukamwambia 'aende kwa amani', kweli unampenda?
Unajua nini mkuu.. kuna txt ukiona inakupa nafasi ya ww ata kujitetea kidogo.. txt ya huyu dada alikuja mazima yaan haina aja ya kujitetea wala nini ila mwisho inasema tuachane sasa hapo unamjibu nini wakati kafunguka wee amna ata sehemu ya swali
 
Nawe mzembe, ungemla huyo dada yake ili uachike kwa uhalali...
Dah ni kweli me mzembe!! Mwanzo nilijuaga utani nikawa nasema huyu ni dada wa mtu wangu maybe ananijalibu.. siku zinazidi mambo magumu me nikampotezea alivyoona hivyo bac akaenda kuvuruga kwa mtu wangu sa cjui nia yake ili iweje
 
Nakuachia haya maneno...
Mtu anaesema ukweli siku zote duniani hapa ni
1.mtoto mdogo
2.mlevi (akilewa tu atakuchana ukweli )
3.mwenyewe anahasira.

Hakuna mwingine hayo uliyoambiwa ndio ukweli wenyewe huo.
Kwa hiyo unataka kuniambia kipindi anasema hiyo hasira ni ukweli wake??
 
Mkuu kiukweli kama unania ya kupita tu rudi ila kama ulikuwa unataka kuoa acha tu maana hata ndoa yenu dada yake atawaandama sana na kama.si mtu wa kusali anaweza kuwaendea hata kwa waganga. Pia si familia yenye heshima iweje dada mkubwa akutake wewe wakati alijua u shemejiye. Naona ni familia isiyojielewa
Tulikuwa tuna malengo but kwa hili naona kamba imekatika kabisa, ndo hapo sasa najiuliza why afanye hvyo
 
Ludiana naye tu
Tatizo huyu dada ajui kutunza siri nakumbuka cha mwanzo kuwasiliana na dada yake.. dada alikuwa anasema " huyo mdogo wangu anakupenda sana cjui unampa nini, now amekili kutulia " sasa naic dogo kamwambia mpaka siri za ndani ndo maana yote yanatokea.. na ata nikiludiana naye bado mtu ni tabia
 
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
Hakuna Hoja Ya Kuacha Ni Upepo Tu
Muhimu Endelea Kama Mwanzo


Hapo Hamjaishi Vumilia
 
Back
Top Bottom