johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Hata pale agakhan karibu na kwa mstaafuMihogo mbona ni chakula kama vingine tu,
Najua sehemu ambayo watu wanapark magari yao wanasubiri mihogo na inauzika haswaa.

Hii habari ilishaletwa hapa,haya ni marudioLeo mida ya saa mbili usiku nilikuwa natembea hii njia ya CBE lakini niliyoyaona nilistaajabu,ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.
Nimekuta masista du wa chuo cha CBE wakipanga foleni huku wakigombania mihogo saa mbili usiku.
Kwa jinsi walivyo utaona ni matawi ase kweli mwaka huu tunabana matumizi ase
Hadi masista du tunagombania nao mihogo siku hizi ,
Wakati tuliwazoea wakinywa juice wanaacha nusu kwenye glass wakila zege wanabakisha vichips robo kwenye sahani..
Lkn nawashauri mwanafunzi hapaswi kula vyakula vya wanga migumu kama mihogo mida ya usiku ,mwanafunzi yuwapaswa kula vyakula vyepesi usiku ili akiamka asubuhi akili iwe sharp ,kuwe na kiwango cha kuingiza wanga mwilini .
Hatari kula mihogo ?Leo mida ya saa mbili usiku nilikuwa natembea hii njia ya CBE lakini niliyoyaona nilistaajabu,ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.
Nimekuta masista du wa chuo cha CBE wakipanga foleni huku wakigombania mihogo saa mbili usiku.
Kwa jinsi walivyo utaona ni matawi ase kweli mwaka huu tunabana matumizi ase
Hadi masista du tunagombania nao mihogo siku hizi ,
Wakati tuliwazoea wakinywa juice wanaacha nusu kwenye glass wakila zege wanabakisha vichips robo kwenye sahani..
Lkn nawashauri mwanafunzi hapaswi kula vyakula vya wanga migumu kama mihogo mida ya usiku ,mwanafunzi yuwapaswa kula vyakula vyepesi usiku ili akiamka asubuhi akili iwe sharp ,kuwe na kiwango cha kuingiza wanga mwilini .
sometimes huwa najiuliza hawa watu wengine hawajapitia chuo?! Well chuo ni wachache, shule yeyote ile?!! mtu anashangaa mwanachuo kula mihogo,mwingine anashangaa wanachuo kuwa na tabia za 'ujana' 'utoto' SMH?!!!Hao ni wanafunzi hawana kipato, hakuna cha kushangaa nwengine chuo wanatamani mihogo hawaioni.
Bro..inashangazasometimes huwa najiuliza hawa watu wengine hawajapitia chuo?! Well chuo ni wachache, shule yeyote ile?!! mtu anashangaa mwanachuo kula mihogo,mwingine anashangaa wanachuo kuwa na tabia za 'ujana' 'utoto' SMH?!!!
Yaani ni ulimbukeni wa hali ya juu! Mtu kapata kiajira analipwa vihela vya kula leo anashangaa wanafunzi kula mihogo! Kuna kijiwe cha mama mmoja anauza mihogo mitaa ya Masaki kila asubuhi watu kibao lazima wa-park pembeni wanunue mihogo kabla ya kuingia ofisini leo mtu anashangaa wanafunzi kupanga foleni ya kununua mihogo!Bro..inashangaza
Kama tu mwajiriwa kuna
siku anaishiwa
sembuse mwanafunzi?
anayetegemea hela ya mzazi
kula,kuvaa,stationary na kodi?
Tuna shida ya kusahauYaani ni ulimbukeni wa hali ya juu! Mtu kapata kiajira analipwa vihela vya kula leo anashangaa wanafunzi kula mihogo! Kuna kijiwe cha mama mmoja anauza mihogo mitaa ya Masaki kila asubuhi watu kibao lazima wa-park pembeni wanunue mihogo kabla ya kuingia ofisini leo mtu anashangaa wanafunzi kupanga foleni ya kununua mihogo!
Utaonaje aibu kwa chakula ukipendacho kwa mfano!pale mirambo street kuna bimkubwa anauza mihogo ya ukweli balaa.. vigogo wengi sana huenda pale
mihogoLeo mida ya saa mbili usiku nilikuwa natembea hii njia ya CBE lakini niliyoyaona nilistaajabu,ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.