Niliyoyashuhudia Leo usiku chuo cha CBE ni HATARI

Niliyoyashuhudia Leo usiku chuo cha CBE ni HATARI

Leo mida ya saa mbili usiku nilikuwa natembea hii njia ya CBE lakini niliyoyaona nilistaajabu,ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.

Nimekuta masista du wa chuo cha CBE wakipanga foleni huku wakigombania mihogo saa mbili usiku.

Kwa jinsi walivyo utaona ni matawi ase kweli mwaka huu tunabana matumizi ase

Hadi masista du tunagombania nao mihogo siku hizi ,

Wakati tuliwazoea wakinywa juice wanaacha nusu kwenye glass wakila zege wanabakisha vichips robo kwenye sahani..

Lkn nawashauri mwanafunzi hapaswi kula vyakula vya wanga migumu kama mihogo mida ya usiku ,mwanafunzi yuwapaswa kula vyakula vyepesi usiku ili akiamka asubuhi akili iwe sharp ,kuwe na kiwango cha kuingiza wanga mwilini .

Maisha ya Tanzania ya sasa ni kambi popote. Hainaga usista duu wala sista did.
 
hivi kwan mihogo kuna watu ambao hawaruhusiw kuila?
 
Ndio habari ya mjini kwasasa c wengine kazini Muda wa chai ni mihogo na viazi vya kuchemsha na chai ya rangi, helaya supu hakuna
 
Tatizo hawa walikuwa wanakunywa juice na kuacha nusu kwenye glass,chips mayai hubakizwa kidogo kwenye sahani. .lkn ghafla hali imekuwa tofauti
Ina maana umekuwa ukiwafuatilia jinsi wanavyokula? Naomba unijibu vizuri tu, nina maana yangu
 
We unawashangaa wanafunzi hukuwahi kumsikia Dr.Slaa? Aliishi kwa mihogo tu na maji hadi akapachikwa jina 'Dr.Mihogo'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom