Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,228
kuna wengine wanakula mihogo mibichi eti ukiuliza wanakwambia wanaongeza nanihino kumbe ndo mchana mwema huo.
Ushasikia ile kitu wanaume wa Dar wanaita kifurushi?.... huko kwenye foleni huko jioni saa ya kwenda nyumbani... utasikia mtu dirishani anaita. .. we dada (dada muuza mihogo mibichi na matango kwenye beseni ) wee dada. .. nipe kifurushi..... heheheheheh ndo lala salama hiyo.
Ukiuliza sasa humo kwenye kifurushi kuna nini ....