Niliyoyaona vyoo vya stendi za abiria ni haya

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Tumefika SHINYANGA, nilichokiona ndio hiki, je ujinyeee au ujikojolee maana wengine tuna nauli tu. Sera za Tanzania zifanyiwe maboresho kwa upuuzi huu.

Don Nalimison.

IMG_1597390617386.jpg
 
Kwahiyo ukiinjika pembeni atasafisha nani? Kwa malipo yapi? Hatà abiria wenzako watashimdwa kukusaidia 300?
 
Don kwa hili ninakuunga Mkono. Inashangaza sana huduma muhimu za Kijamii zinageuzwa fursa ilhali Kuna ushuru unalipiwa na magari yanayoingia hapo Stendi.

Stendi ya Mbezi mwisho unalipia 500 kujisaidia iwe ni haja kubwa au ndogo.
 
Vyoo vinahitaji huduma kama usafi na maji, unataka nani alipie? Kama kanye ukufika nyumbani.


Acha uzezeta hayo makato yanayokatwa gari ikiingia stand kazi yake nini? hizo kodi tunazolipa kazi zake nini si kutoa hudua kwa wananchi? au ndio kununua majogoo na kumgawa mama? acheni hizo huyo Don ana reason kabisa
 
Kiongoz hujaenda tu kwa trump umfate kipenz chako Malia Obama utuachie linchi letu
 
Tumefika SHINYANGA, nilichokiona ndio hiki, je ujinyeee au ujikojolee maana wengine tuna nauli tu...Sera za Tanzania zifanyiwe maboresho kwa upuuzi huu@Don Nalimison.
View attachment 1536835
Ule mchango kwa ajili ya sabuni kulipia yale maji na choo kikijaa pamoja na ka posho ka wale wahudumu sasa mnataka mharishie hapo bure?
Kama ni mnataka vya bure basi dereva akapaki hoteli ndio huduma hiyo ni bure .
 
Back
Top Bottom