Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,592
- 29,545
I'm humbled Kelphin..! Namie nakuombea umpate..!😍Nikipata mtoto wa kike ntamuita @Carleen [emoji177]
I'm humbled Kelphin..! Namie nakuombea umpate..!😍Nikipata mtoto wa kike ntamuita @Carleen [emoji177]
Thank you dear😘😘this is too huge babe FS, thank you so much..!! Millions of kisses to you..!!😘
Yule mtoto wetu eeh!😀Nikipata mtoto wa kike ntamuita @Carleen [emoji177]
Afu ni tangazo hili la kutafuta mke aisee!nakuja sahivi tuuage ubachela mkuu😂[emoji16][emoji16]
Mkuu unakaa wailes?Tangazo lipi mkuu
Sasa why ulikua unazungukaa mara ulienda sokoni stereo, ukafanya mazoezi mara ndinga aarh, ungesema tu jamani nani tuuage naye ubachela😀 ila sawa nakuja babe BoliNitafurahi sana...!!
anafanya mazoezi, hana wivu na wanaume aliowazidi kipato.. dogo ni husband materialWadada wa jf mjiongezege basi
Mambo muhimu
Ana gari...huu n ulimbo kwa mabint
Anaenda sokon..amechoka kupika anhtaj msaidizi
Ninja kaona badala ya kusema nahitj mke katumia njia mbadala haya Sasa changamkeni huko pm
Sasa ungejuaje mpwa anamafanikio mpaka gari analo?Sasa why ulikua unazungukaa mara ulienda sokoni stereo, ukafanya mazoezi mara ndinga aarh, ungesema tu jamani nani tuuage naye ubachela😀 ila sawa nakuja babe Boli
KUZUNGUKA MUHIM MAMA BILA KUNYANYUA MIGUU NA KWENDAKWENYE HUSTLIN ZA KAWAIDA UWEZ TUSUA LIFE HII financial servicesSasa why ulikua unazungukaa mara ulienda sokoni stereo, ukafanya mazoezi mara ndinga aarh, ungesema tu jamani nani tuuage naye ubachela😀 ila sawa nakuja babe Boli
Sawa babe Boli, ila hiyo picha mbona kama ushaoa tena mzungu aisee, mi nilikua serious nije tuyajenge ujue😒KUZUNGUKA MUHIM MAMA BILA KUNYANYUA MIGUU NA KWENDAKWENYE HUSTLIN ZA KAWAIDA UWEZ TUSUA LIFE HII financial services
😉aah aah aah