Niliyoyaona siku ya leo Jumanne

Niliyoyaona siku ya leo Jumanne

Pesa kidogo tu tunaanza kuvimbiana kwa mtaa, hahahahah, wanadamu bana wanataka kuishi kama vile washa fika peponi, mfalme Sulemani anasema hayo yote ni ubatiri mtupu, kikubwa kula, kuvaa na Pumzi basiiiiiii,
Nimtazamo tu
 
Usisahau kufanya ibada mkuu
 
sasa hivi nimeacha bangi mkuu baada ya kuajiriwa.
una bahati sana kuajiriwa
serikali hii haiajiri tena ni bora ungesema umejiajiri ukavuta mkoko
lkn km umeajiriwa unasubiri mshahara hiko Sokoni Tandikabado hawajakutandika sawasawa maisha magumu watu hatuna kazi
karibu JF maana naona umeingia juzi mwezi huu
 
Mods hamisheni huu uzi muupeleke MMU, tena kule kwa wanaotafuta wenza
 
Wew utakua ni chakula ya watu maana Tanzania hii wanaofanya kazi ngumu za mizigo wapo miaka yoote sasa wew na wac wac na jinsia yko!!!!!!
 
una bahati sana kuajiriwa
serikali hii haiajiri tena ni bora ungesema umejiajiri ukavuta mkoko
lkn km umeajiriwa unasubiri mshahara hiko Sokoni Tandikabado hawajakutandika sawasawa maisha magumu watu hatuna kazi
karibu JF maana naona umeingia juzi mwezi huu
Thank you bro
 
Wew utakua ni chakula ya watu maana Tanzania hii wanaofanya kazi ngumu za mizigo wapo miaka yoote sasa wew na wac wac na jinsia yko!!!!!!
Sawa,mkuu karbu sna naona umeongea inverse...!! Hii sio sehem ya majaribio hata kidogo mkuu, hapa ni kama unataka kumjaribu Mshana Jr na uchawi wako wa laki 1.
 
Mimi kilichoniuma zaidi, kwahiyo birthday yangu ya 14th April imeshapita sijapewa hata zawadi jamani..?? 😕
Yaani inabidi usiende huko Mars baki hapa hapa kwa Earth ili tuisubiri birthday! I saved the date, 14th April ntakuimbia kawimbo ka birthday 😉. Then Happy birthday in advance beautiful Leen😘
 
Ooh shitt nigga
Shame on you, I bet your degree is fake and of very low G.P.A.
You can't even spell "shit"
You think owning a car is an achievement?....
You are more of a spinster than a bachelor.
Spare the vernom.
 
Back
Top Bottom