Mungi pole ila kwa maelezo yako inaonekana huna mrembo unayemgawia madolare ndo mana huyo changu alipa muda wote huo wa kukusumbua uko busy na politic.e?pole saana 70% walioko selo ni waliobabmbikiwa kwa analysis yangu mwenyewe
hivi wanaume hamfundishwi kuepuka maeneo ya faragha na wanawake hususana wanaowatongoza?
Umegundua kwa nini baadhi ya wanawake wanaume wakiwang'ang'ania wanawavurumshia mvua ya matusi?
MungiSijui niseme ni huruma au upole wako ndo ukikuponza???
Hebu wanasheria mkuje hapa.... Kwa seria za bongohuwezi mchukulia huyo mwanamke court oder akae mita kadhaa mbali na wewe?
Mkuu inawezekana huruma na upole ulichangia kwa sehemu kubwa, lakini sisi kwa utamaduni wetu wa kiafrika isingekuwa na athari. Dunia imebadilika sana, kwa miaka 35 niliyonayo sijawahi kushuhudia haya.
Unajitahidi kutunga hadithi. Nikitulia nitakusahihisha kidogo maana taswira unayoijenga kwenye hadhira ni kwamba huyo mwanamke ulikuwa unafahamiana naye ingawa ulitaka isomeke kuwa hamjuani sana
Big up brother, una msimamo wa hatari. Unawezaje resist temptation kama hiyo? Yaani dame anakubembeleza hivo na unamtolea nje? Ndio maana kilimuuma sana!!!
mkuu kabla ya hapo nilipata kujua historia yake kidogo, lakini baada ya kuanza mawasiliano naye kwa sms mara kwa mara ndipo nilipomjua zaidi.
Hiyo ilinifanya niwe makini zaidi, kwa mfano zile chipsi ndo ilikuwa mwanzo wa mimi kuwa milki yake
Pole sana mkuu kwa kutaka kubakwa na mwanamke.
Mungi, nilidhani utani wakati nasoma, kumbe ni kweli pole sana mkuu!
Yeah...sio utani...Haya kwetu huku ni kawaida kabisa...
Nakumbuka mwaka jana mwanzoni yalinikuta kama ya Mungi pale Nbc jioni ya saa 2..sema najuana na hawa jamaa wa central ndio ikawa pona yangu...nilimzaba ..lakn baadae tukawa marafiki wazuri kimapenzi..