Nchi inaitwa Germany sio germanWakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.
baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.
Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced
Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu
Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund
Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal
Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
Mmmh nauli 5.7mil?visa alinishulikia ndgu yangu n padre si unajua ma padre wana exposure fulan tofauti?
nauli nilitumia almost million 5.7 one trip
nauli kwenda kurudi first class,hotel,na vitu vidogovidgo hatusafiri kimaskini maskiniMmmh nauli 5.7mil?
Nchi inaitwa Germany sio german[/QUOT
OK nimekuelewa hofu yangu isijekuw ulipata zero kiswahili
karibuNtarudi kusoma
pmj sheikhBasi sawa...
visa alinishulikia ndgu yangu n padre si unajua ma padre wana exposure fulan tofauti?
nauli nilitumia almost million 5.7 one trip
typing errorAcha uongo mkuu hiyo naul ya 5.7m ni nchi gan kwa one trip?? Acha kutuingiza mjini
uchapakaz wa wazungu,kuzingatia mudaUliona nn kwenye tour yako, tujuze wadau!
uchapakaz wa wazungu,kuzingatia mudaUliona nn kwenye tour yako, tujuze wadau!
Mkuu wewe ni mhaya?vingine n siri yangu yaani hata kama nimeenda kwa ajili ya kugegeda niseme hapa?
Wajinga vs welevu, takwimu zinasemaje?Unajua unapotoa maelezo yakaacha mashaka lazima watu wakuulize mwaswali na unatakiwa uyajibu vzr! Umeulizwa mbona hakuna ndege ya Ethiopian ya kutoka KIA mpaka Dubai? Kwa nini hamkupitia Addis Ababa ambapo ndio kwenye ngome ya Ethiopian? Ukajibu wewe ni mgeni na pengine mlipitia lakini hukujua! Sasa huoni hili jibu ni kichekesho? Hivi ndege imekuwa dala dala ambayo inaweza kupita kituoni bila mtu kujua? Huoni ukimweleza mtu aliyewahi kusafiri na ndege kupitia Addis Ababa atakucheka sana? Ina maana uliteremka kwenye ndege na kubadilisha nyingine huku umelala na hujui kinachoendelea?