Niliyoyaona Mumbai(Bombay)

Kuna watu wiki iliyopita walinasa kwenye foleni kwa wiki mbili,yaani gari zimepanga msululu hadi umbali wa km 100,kama si mumbai ni indonesia
 
Kumbe huwa unapita na huku ,nikajua we ni jukwaa moja tu
 
Kuna watu wengi sana, karibu million 20. Kuna slums na watu masikini hakuna mfano wake. Jioni ikifika, barabara fulani zinakuwa wazi, watu wanalala. Ila kuna barabara nzuri, traffic inavyo accelerate na wingi wa magari, pikipiki, tukutuku (bajaj), watu, ng'ombe, mbwa na paka, huwezi amini. Kuna sehemu nzuri na safi sana, TZ hakuna. Kama eneo analoishi Amitha Bachan na Ganthi family. Mimi niliishi Powai ni pazuri sana ila ile harufu ya uozo unakumbana nayo tangu AirPort ( welcome to Mumbay- namasta).
 
Bila shaka mleta mada ni chadema, hao ndio kwenye kila kitu huona negative tu
 
I concur with you!!point no.3 jamaa ni wachafu sana na kitu kingine ambacho naweza kukusaidia jamaa wana classes za hali ya juu kama ww ni maskini basi utakufa maskini na kama ww ni tajiri basi utakufa na utajiri wako.Kule opportunity za kufanikiwa ni chache sana na hii inachangiwa na population pressure.
 
[emoji38] hata huku si unaona walivyo ...
 
Ninavyowachukia wahindi siku kama ningekuwa prezidaa tayari wangekuwa wamesharud kwao mumbay
 
Hunishindi mm [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Mkuu siamin kama unanishinda Mimi.... Nasema tena siamin kama unanishinda Mimi.... Narudia tena ninavyowachukia wahindi hakuna kiumbe kutoka Tanzania kinachowachukia kama Mimi. OVER
 
New Delhi kiukweli ni pazuri na pametulia wana MALLS nzuri na METRO TRAIN ya nguvu.
New Delhi nilipenda wanavyopata mapato yatokanayo na matumizi ya barabara road license wameweka vituo vya kukatia barabarani gari likipita linalipa hapohapo sio huku kwetu mpaka mwende TRA full mafoleni
 
Kwenye issue za horn wana fujo sana, niliona magari yao mengi yameandikwa kabisa "Blow horn"


 
Stesheni ya Treni pale Mumbai Vibaka wa kufikia ka Mtaa wa Congo,haijalishi unatokea wapi hawa vibaka wapo kwa makundi ni hatari sana wakati mwingine.
 
Stesheni ya Treni pale Mumbai Vibaka wa kufikia ka Mtaa wa Congo,haijalishi unatokea wapi hawa vibaka wapo kwa makundi ni hatari sana wakati mwingine.
Wanajua kupigana.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…