Niliyoyaona Mumbai(Bombay)

 
India bana ubakaji ni jambo la kawaida tena ile gang rape police wanachukulia poa tu ni kawaida watu kutandika mabox na kulala nje uchafu ni sehem ya maisha yao...Pia polisi anaogopeka sana kule na tajiri hashtakiwi akimfanyia chochote kibaya maskini
 
Wanathamini sana bikra.?!
Mara nyingi sana ukiona mtoto wa kike amejiua wakati mwingine inatokana na kuwa alimpa utamu kijana akiwa na matumaini kuwa atamuoa, akighairi inakuwa ni shida kuolewa maana hatakuwa na Bikra. Ujue India kuna aina mbili za ndoa yaani love marriage na arranged marriage. Kuna wanaooa kwa kujichagulia mchumba na ambao wanatafutiwa mchumba na wazazi wao. Vijana huku ni waungwana na ni wasikivu kwa baba zao, hivyo baba akikataa usimuoe binti fulani huoi. Usisahau kuwa Wahindi hukaa katika kaya moja hivyo ukioa mke wako anakuja kuishi katika kaya yenu. Kama bibi yako yupo hai ndiye boss wa mama yako na mke wako. Akifa bibi, mama anatawazwa kuwa boss. Mpaka mama yako atoweke ndiyo mke wako atakuwa boss. Kwetu utaambiwa bado unakula kwa mama? Niishie hapo ila kama una zaidi
 
Honi kama vile nyimbo kwao, nilipita Mumbai mwaka jana wakati nakwenda chennai, nikalala pale siku 4 siku 1 niliyoingia mjini sikutamani tena kurudi mpaka siku naondoka,
Hizo Honi mpaka niliugua kichwa, hata mwenyeji wangu nilipomuuliza kanijulisha anasema wao kupiga Honi sio kama labda uko vibaya dereva mwenzake, Ila Ndio udereva wao, hiyo niliona pia Karachi, Pakistan
 
upo sahihi ndugu yangu! ukitembea kwa treni utaona wanavorusha vinyesi kwenye reli kutokea majumban kwao!

halafu wanatema mate kila kona!

sema kuna miji mingne humo mumbai mizuri sana kama NAVI MUMBAI na kuna miji kama POWAI ni uzungun

By the way, ulifanikiwa kumsalimia AMITHA BACHCHAN?
 

Kweli ulikua Bombay naona ulituletea zawadi nyingi pamoja na hiyo avatar yako.
 
Population ya Mumbai kwa sasa ni Million 42
 
Dah Pilipili ndani ya pilipili
 
Yani we unadhani kila mtu humu ndani ni mshabiki wa siasa. Think twice.
 

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]

Honi kwa sasa zimepungua. Na kuna maeneo wameweka vibao huruhusiwi kupiga honi.

Yaani honi kwao ni burudani sana. Sasa hivi wanajisikia shida. Yaani inaposemwa noise pollution basi ni honi za India.
 
Unaisifia hiyo mikataba wewe umeiona!? Au unahadithiwa tu kilichosainiwa!?

CHADEMA itachukuaje nchi na tume ya Uchaguzi ni yako, yaani unaimiliki kama chupi yako unayovaa (kama unavaa chupi lakini)!?
 
ina maana hakuna hata positive moja la kujifunza..Ama unatushirikisha mabaya tu....
Mkuu, wewe unasema hivyo labda hujawahi kufika India. huwa tunasema sisi ni wachafu? Bongo hakuna mji mchafu. Ujue ule mji una idadi ya wakaazi milioni 20.7. Pamoja na kuwepo mazuri, lakini kimpression ya kwanza ukifika Mumbai ndo kama mleta mada alivyosema.
 
kwani nimemkatalia ''alichoona'' na ''kujifunza''?....swali langu langu limejikita na mambo chanya aliyoona na kujifunza apate kutushirikisha pia..
 
Hahahahahdhah

Kwa ninayoyasoma hapa naanza kupata kichefuchefu ptuuuu!!!

Wahindi wachafu[emoji16]
 
(huko

Hahahahaha hahahaha...hongera sana Ndugu yangu kwa kuainisha uliyoyaona, lakini kuhusu uchafu nadhani umesahau jambo moja whether ni kwa makusudi or not sijui...je, hukuona namna watu wasio na makazi wanavyojisaidia hovyo???...Kama hujaona hayo basi wewe hujafika Mumbai....Je, hujawaona maskini hohehahe hapo Mumbai ambao Mama Theresa alikuwa anawasaidia (huko Calcutta????) na hata kupata Uenye heri kulekea utakatifu??? Hujawaona maskini wa kutisha kuliko wa hapa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…