Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,349
- 3,312
Kumbe ndo maana juzi roho yangu ilisita kulipia hiyo PPV event..
kitambo sana mkuubongo muvi huwa ni mbovu kanumba ndio aliijuliaila rekebisha haya==>
sio kila askari anapigiwa saluti mfano huwezi kumpigia saluti koplo hata kama amekuzidi cheo.
nguo za askari huwa wanakuwa na sare zaidi ya mbili
hahahaa eti wanahima kama wanatwanga hao ingebidi wapige kwanza kwata wiki kadhaa halafu nahisi walikua wanaenda kwenye mitumba wanatafuta kofia ndo maana nembo hazifananiAskari wa cheo cha chini hajampigia cheo wa juu hilo moja pili jamaa wanahima mpaka wanainama kama wanatwanga vile hao askari then uniform sawa kuna aina 7 za uniform za polisi na nazijua zote ila pamoja na utofauti ila nembo ya jeshi la polisi ni lile lile sio wao nembo ya kwenye og tofauti na police suti
HahahahahahahahhaMovie za bongo miyeyusho,kuna moja mke wa jamaa kaenda safari Africa kusini ,safari ya wiki mbili,ile tu anaondoka jamaa kaanza mahusiano na housegirl,akampa mimba,ndani ya wiki mbili mke anarudi house girl kashajifungua tayari
Hahahahahaha hivi wenzetu huwawanafanayajeMi niliona moja jamaa alikuwa kwenye pikipiki kuna mtu akatokeza kwa mbele akamminia risasi nyingi mno ila cha kushangaza jamaa alipaki pikipiki na stand akaweka ndo akadondoka chini.
Wenzetu mbele hasa Hollywood huwa kuna kampuni inayotengeneza na kusambaza hizo vitu kuanzia Uniform za askari, Pesa bandia, Bunduki aina Zote na vikororo vingineHahahahahaha hivi wenzetu huwawanafanayaje
Kumbe wanatumia pesa bandia utakuta briecase minote kibao ila sasa tunatumia og vipi kuhusuile tomatoWenzetu mbele hasa Hollywood huwa kuna kampuni inayotengeneza na kusambaza hizo vitu kuanzia Uniform za askari, Pesa bandia, Bunduki aina Zote na vikororo vingine
Huko uzunguni hawatumii tomato, wanachanganya Corn syrup na Red food coloring, inakuwa kama the real bloodKumbe wanatumia pesa bandia utakuta briecase minote kibao ila sasa tunatumia og vipi kuhusuile tomato
wanasema yeye ndio mkali lkn kacheza utumbo mtupu[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] jamani si nasikia huyo jamaa ndo mkali wa bongo movie?