Niliyoyaona kwenye movie ya SUMU

Niliyoyaona kwenye movie ya SUMU

Haha nimemsikia jamaa leo analinganisha muvi yake na ya insyuka,
Kajisifia sana kuhusu mavazi wameagiza toka china mengine yamekuja kwa meli, mengine ndege.

haha akajihami kwa wakosoaji mkosoe kwa hekima, nadhani atafurahia ukosoaji huu...

Muvi za kibongo bado kabisa hazinishawishi, asante kwa picha hizo zimenipa mwanga.
Hovyo sana tena sekta ya polisi ndio hawajaitendea haki kabisa
 
Kuna kipande Gabo kavaa police uniform afu kavaa mkanda mweupe kama Nesi!
 
ha ha haa,,hapo kwenye hyo front cover tu ukiwaangalia hao maaskari wa kike unaona hamna kitu

Bongo muvi bado sanaaa
 
Kijiji kizima kimekumbwa na Mauaji ya halaiki lkn Police wanamchukua suspect mtu Mmoja tu....! Tena kisa cha kuchukuliwa eti kuna bint kamuangalia sana yule Mzee wakati bint analia!
 
Movie za bongo miyeyusho,kuna moja mke wa jamaa kaenda safari Africa kusini ,safari ya wiki mbili,ile tu anaondoka jamaa kaanza mahusiano na housegirl,akampa mimba,ndani ya wiki mbili mke anarudi house girl kashajifungua tayari
Hii itakuwa ni mimba ya mbuzi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kuna kipande Gabo kavaa police uniform afu kavaa mkanda mweupe kama Nesi!
bado kuna tatizo bongo movie, sema jamaa akifanyia kazo concern za wadau na kurudi kazini anaweza improve. Technology inakimbia kwa kasi ya ajabu, ni ngumu sana kwa hawa watu kukimbia nayo, ila inabidi wajitahidi sana kwenda na technology.
 
Movie za bongo miyeyusho,kuna moja mke wa jamaa kaenda safari Africa kusini ,safari ya wiki mbili,ile tu anaondoka jamaa kaanza mahusiano na housegirl,akampa mimba,ndani ya wiki mbili mke anarudi house girl kashajifungua tayari
Mi niliona moja jamaa alikuwa kwenye pikipiki kuna mtu akatokeza kwa mbele akamminia risasi nyingi mno ila cha kushangaza jamaa alipaki pikipiki na stand akaweka ndo akadondoka chini.
 
Mi niliona moja jamaa alikuwa kwenye pikipiki kuna mtu akatokeza kwa mbele akamminia risasi nyingi mno ila cha kushangaza jamaa alipaki pikipiki na stand akaweka ndo akadondoka chini.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
View attachment 815826 View attachment 815827 View attachment 815828 View attachment 815829 View attachment 815830 View attachment 815831 View attachment 815832 View attachment 815833 View attachment 815834 Kama kuingiza hela jamaa wamefanikiwa tena sana, kwa hako ka mtindo ka kulipia 1000 azam tv kwa jinsi movie ilivokuwa hot naiman jana na leo si chini ya milion 100 wameingiza.
Back to mada sijawahi kuona movie ya ovyo kama hiii ni muendelezo wa movie mbaya toka bongo movie.
-story ni ya hovyo imekaa kusadikika sana vitu ambavyo hata iweje haviwezi kuwepo
-polisi ndio wameharibu sana hii movie kwanza nembo za polisi zimetofautiana kwenye vazi la darkblue na jeusi
-lanyati haijulikani hii ya ofisa au hii ya askari
-mwanzo mpaka mwisho askari hawajaonekana hata na bastora,huwez kuwa na operation kubwa kama hio huna silaha hata kama ndogo.
-askari wanandevu, mashati hawajachomekea kitu ambacho huwezi kukikuta kwenye idara yoyote ya polisi dunian
-mikanda wamevaaa ile ya buku 3 walishindwa kuwachek hata securty guardy wawaasime.
-rubani na ma airhostless wakati wanapanda kwenye gari kwenda airport anaonekana rubani mmoja tu ndio ana begi
-mtuhumiwa mkuu kubinywa tu sekund 2 na bisibis na kusema kila kitu hilo halipogo ivo
-effects za moto zinaonekana kabisa za uwongo
-polisi wanasalimiana bila kupigiana salute.
-damu inaonekana wazi ni tomato
-haikuwa na umuhim kwenda sudani na kenya wakati vyote walivoigiza vinapatikana tanzania

Kifupi imeboa siku nyingne mjitahidi kufanya movie ambayo mnaweza kuitendea haki kwa stahili hii safari bado ni ndefu
bongo muvi huwa ni mbovu kanumba ndio aliijuliaila rekebisha haya==>
sio kila askari anapigiwa saluti mfano huwezi kumpigia saluti koplo hata kama amekuzidi cheo.
nguo za askari huwa wanakuwa na sare zaidi ya mbili
 
Askari wa cheo cha chini hajampigia cheo wa juu hilo moja pili jamaa wanahima mpaka wanainama kama wanatwanga vile hao askari then uniform sawa kuna aina 7 za uniform za polisi na nazijua zote ila pamoja na utofauti ila nembo ya jeshi la polisi ni lile lile sio wao nembo ya kwenye og tofauti na police suti
 
Mi niliona moja jamaa alikuwa kwenye pikipiki kuna mtu akatokeza kwa mbele akamminia risasi nyingi mno ila cha kushangaza jamaa alipaki pikipiki na stand akaweka ndo akadondoka chini.
[emoji16][emoji16][emoji16] Leo nacheka tu aisee
 
Back
Top Bottom