Niliyoyaona jimboni Karatu

mimi siwezi kuwa mnafiki jimbo langu ni la moshi mjini ambalo nimeishi zaidi ya miaka 20 sasa,lakini ki ukweli ndugu Ndesamburo amefanya mengi sana pale na ndio maana unapokuja uchaguzi tunaweka vyama pembeni a kumchagua huyu mzee kwani yeye kama mbunge amefanya mengi sana na hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuonyesha aliyofanya mzee Ndesa si kwenye maji tuu,Ndesa kasaidia,mashule,barabara,hospitali,masoko,michezo etc,sasa Slaa yeye kwanini jimbo lake liko kwenye hali duni hivi,miaka yote alikuwa anafanya nini?

mkuu wewe una umri gani?? na umezunguka hii Tanzania kiasi gani?
Kuna wabunge wangapi wamedumu kwenye majimbo yao miaka na miaka lakini hakuna kitu??? Wewe umewahi kuwasikia watu wa Karatu wakilalamika??

Mbona Kikwete anashindwa kutawala hapa Tanzania, lakini anapata ulaji kusuluhisha migogoro huko nchi za watu? Hapa namaanisha kuwa kushindwa kuongoiza watu 2 haimaanishi utashindwa kuwaongoza maelfu.. Kuwa mbunge ni kuwa mwakilishi wa wanajimbo kuna baadhi ya mamlaka unayakosa..Huwezi kuamrisha serikali ijenge miundo mbinu, ila unachoweza kufanya ni kuiomba.
Lakini unapokuwa Rais una mamlaka yote! Unaagiza tu.
 
Karatu huijui Moshi mjini huijui!

Peleka PUMBA zako huko!

wewe wasema mimi moshi siijui,sawa mdomo ni wako endelea kutoa pumba zako tuu! but BASIL LEMA yule kiongozi wenu wa CDM moshi manispaa ananijua na anaielewa sana
 
Anakujua kama nani? shemeji yako au? au aliwahi kukupa lift
 
mkuu wewe una umri gani?? na umezunguka hii Tanzania kiasi gani?
Kuna wabunge wangapi wamedumu kwenye majimbo yao miaka na miaka lakini hakuna kitu??? Wewe umewahi kuwasikia watu wa Karatu wakilalamika??

Mbona Kikwete anashindwa kutawala hapa Tanzania, lakini anapata ulaji kusuluhisha migogoro huko nchi za watu? Hapa namaanisha kuwa kushindwa kuongoiza watu 2 haimaanishi utashindwa kuwaongoza maelfu.. Kuwa mbunge ni kuwa mwakilishi wa wanajimbo kuna baadhi ya mamlaka unayakosa..Huwezi kuamrisha serikali ijenge miundo mbinu, ila unachoweza kufanya ni kuiomba.
Lakini unapokuwa Rais una mamlaka yote! Unaagiza tu.

sasa hao kina NDESAMBURO,ARF wamewezaje? hata mh Mbowe miaka mitano aliyokaa pale Hai kabla hajagombea urais alifanya mengi sana na ndio maana liweza kuthubutu kugombea uraisi wa nchi hii! na hii ndio sabau wananchi wa hai walimchagua tena kwa kura nyingi! so why slaa hakuwatendea haki wana karatu?
 
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)

Ni bora ulienda Loliondo maana kuna problem kidogo kichwani,hope umepona.....Hivi hii Tanzania kuna jimbo ambalo watu wanaishi kama Ulaya? Uwepo wa serikali ya CCM madarakani unakwamisha maendeleo ya maeneo mengi.....Kumbuka kauli ya Dr wa kupewa Amani Karume alisema hawezi peleka huduma za maendeleo Pemba maana hawakumchagua......
 
Adam AKAMJUA mkewe Eva, wakazaa mtoto wakamwita Kaini.

Akamjua tena, wakazaa mtoto...................

Mkuu Kashanga, kumbe na wewe kuna WANAUME wanaKUJUA? Na zaidi ni kuwa Wanakuelewa sana tu.

Pole sana kwa KUJULIWA SAAANA.
wewe wasema mimi moshi siijui,sawa mdomo ni wako endelea kutoa pumba zako tuu! but BASIL LEMA yule kiongozi wenu wa CDM moshi manispaa ananijua na anaielewa sana
 
sasa hao kina NDESAMBURO,ARF wamewezaje? hata mh Mbowe miaka mitano aliyokaa pale Hai kabla hajagombea urais alifanya mengi sana na ndio maana liweza kuthubutu kugombea uraisi wa nchi hii! na hii ndio sabau wananchi wa hai walimchagua tena kwa kura nyingi! so why slaa hakuwatendea haki wana karatu?

mkuu karatu hujafika, na zaidi umepewa tu story..
Mbona sijawahi kuwasikia watu wa Karatu wakilalamika..?? wewe unawalalamikia kama nani?? ina maana kwa hiyo miaka aliyokaa kama mbunge wa chadema alikuwa amewapa nini hadi wamchague???

Hebu tumia akili kidogo! sitaki kuwatetea chadema, ila ccm tumeona waking'ang'ania majimbo kwa gharama yoyote..Karatu ni mojawapo ya majimbo ambayo ccm imekuwa chama cha upinzani.. sishangai na wewe kuwa mpinzani kwa sehemu ambayo hujafika na umepewa stori tu!
Mbona sasa huyo Mbowe hakuchaguliwa kuwa rais??
 
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
thanks

Pitia basi na tabata uone misururu ya kila kitu achilia mbali maji na umeme
 
Dalili za watu kushindwa kwa hoja ni kuanza kutukana, Kashanga endelea kuwabana bana siku hizi wamenyooka sana.
 
hilo jimbo unalolitaja ni la lowasa nenda kwanza karatu ndipo uje hapa kuleta fitina zako.
 
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)

Unalako jambo hulazimishwi kumpenda mtu maana sio unachukia kazi zake ila unamchukia mtu,huko si ndio CCM walikuwa wang'oa mabombo ya maji,pia wewe umepita barabarani tu hujatembelea jimbo lote,ubungo hakuna maji,kinondoni hakuna maji,temeke hakuna maji,kawe hakuna maji na siajabu unapokaa hakuna maji.tanganyika ina mito mingi lakini ufisadi unaofanywa na CCM unaleta matatizo makubwa na si maji tu karibu kila kitu kimeharibika,dawa tuiondoe kabisa CCM tuone wengine watafanya nini.
 
Adam AKAMJUA mkewe Eva, wakazaa mtoto wakamwita Kaini.

Akamjua tena, wakazaa mtoto...................

Mkuu Kashanga, kumbe na wewe kuna WANAUME wanaKUJUA? Na zaidi ni kuwa Wanakuelewa sana tu.

Pole sana kwa KUJULIWA SAAANA.

chadema haiwezi kuendelea kama itakuwa inajibu hoja kwa namna hii,instead of showing ur maturity in defending ur party through strong points u resort into nonsense and abusive words
 
Ina maana kashaga anadonolewa sio? yaani wanamcheki sio? i mean wamemjua siyo... eeerr mtoto wa watu ama?
 
chadema haiwezi kuendelea kama itakuwa inajibu hoja kwa namna hii,instead of showing ur maturity in defending ur party through strong points u resort into nonsense and abusive words
hakuna cha kudefend kama unajua namna funds za development zinavyo-trickle down the system

You came cheap, we will give you a cheap one

Pitia jimbo la Pinda, Kwa Mkwere, Tingatinga, Kondoa, kwa Nyalandu, etc
 
Mkuu,

Si ni wewe mwenyewe umeandika kuwa LEMA anaKUJUA na Kukuelewa sana?

Sasa Matusi hapa yako wapi? Wee sema ulikosea kuandika na inatosha na si kusema sisi tunakutukana.

Maneno uandike mwenyewe na uje useme ni sisi TUMEKUTUKANA?

Hapa inabidi tu umwite Ex-Padre Slaa akusaidie kwa kupotoka kwako maana umejiingiza mwenyewe...
chadema haiwezi kuendelea kama itakuwa inajibu hoja kwa namna hii,instead of showing ur maturity in defending ur party through strong points u resort into nonsense and abusive words
 
chadema haiwezi kuendelea kama itakuwa inajibu hoja kwa namna hii,instead of showing ur maturity in defending ur party through strong points u resort into nonsense and abusive words

dawa ya pumba ni pumba ..... vikaragosi mnashida sana .... wivu na chuki vyote vyenu
 
i used to call you kashanga, have you satisfied with coments and vivid evidences?
after all maendeleo yoyote ya nchi yakipatikana anasifiwa rais, na hata yasipopatikana pia alaumiwe rais kama mmbunge wa eneo husika alionyesha jitihada za kutaka mabadiliko ila alikosa sapoti toka srkln.
 
Wewe hujiulizi JK aliwaambia watu wa Mang'ola ikiwa wanataka wajengewe barabara toka Karatu - Mang'ola wampe mtu wa kumkumbusha ambaye ni mbunge! Lakini hawakusikia kilio cha JK wakampa mchungaji ubunge, kifupi Karatu ya miaka ile siyo ya leo japokuwa huwezi kufananisha na majimbo mengine makubwa yenye maendeleo zaidi ya Karatu.
 
Dawa ya Moto ni Moto.

Mtu habari za kuambiwa, hawezi kuzileta hapa JF. Mtu mwenyewe aliyemwambia anaweza kuwa hata alipotea na kuwa jimbo la SIKONGE na akafikiri kuwa yupo Karatu. Huu ndiyo UPUUZI wengi huwa hatupendi.

Ukija na POINTS nzito tujadili, tutajadili. Ukileta za kuleta pia TUTAJADILI.

Hapa wengine tunazitumia sana Newton's Law of Motion: To every action there is always an equal and opposite reaction.

Back
Top Bottom