Niliyoyaona Jijini Mwanza

Hizo sehemu zote ni mjini na utakutana na jamii ya watu tofauti tofauti, kusikia kilugha ni nadra sana. Utakuwa ulipita shamariwa mkuu.
Najua nnachosema mzee...kote huko mekuta watu wanaongea kilugha....
 
Mwanza ni pazuri kuliko Arusha,
Arusha wana usela mavi wa kisenge sana.

Mwanza unatembea usiku kucha pale mjini husumbuliwi na mtu, hata watoto wa wakoma wamepoa.

Arusha ikifika saa 3 kila mtu kajifungia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Asante sana...nilikuwa hapo ndam jana maeneo ya Eden nikipga kitimoto saaf kabisaaa
Sikumbuki vizuri hapo Eden unakua jiran na ITALIAN PUB
Kuna mshikaji mmoja kipindi Fulani nilikua namsindikiza ku supply kitimoto🤓

Ni kitambo iyo aisee enzi izo watu wana u copy u dar es salaam na ku u paste mwanza 🤓
 

Kwenye draft Mwanza hucheza haswa British na wala sio French, point to ammend.

Nenda Pale Usagara NjiaPanda wanacheza sana British
 
Na pale makoroboi
Hivi lile soko likilokuaga la nguo especially ile mitumba ilokua inamwagwa pale makoroboi lilihamishiwaga wapii??? 🤔
Siku ya kufungua yale ma baloo nilikuaga natingajee kusagula viwalo vya mtumba juzikati nilipita na visenti bubu nikaambiwa lilihamishwa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…