Niliyoyaona Jijini Mwanza

Wanywe ama wateme☺️☺️☺️😁!!
 
Karibu mno. Binafsi wife huwa namchukulia hapo ama nampeleka. Sema wale vijana wanachekesha Mara wewe dada mwenye nywele za marehemu sogea hapa uchague
Yanii nilikua naenda kusaulaajeee palee! Na zile pochi za mitumba zilizokua zinawekwa pale chini pia zipoo???
 
Mangi tulia...
Hebu msalimie ngabu kwanza
Huyo ameona maisha ya kuendesha Van za delivery za Mc’Donalds hazilipi ameamua kukamata kibibi alelewe. Sasa kibibi kampiga stop kutumia simu wala mawasiliano yoyote, limefungiwa ndani lina kazi ya kufua chupi na kupiga mashine.
 
Ongea yote ila kuilinganisha na Arusha utakuwa una matatizo sio bure.
 
Mtu aliye sawa kichwani hawezi amini unachoandika hapa.

Kumbuka unachokiandika kinadhihirisha kilichojificha kwenye medula yako.

Namna yako yakufikria haipo sawasawa.

Wewe ni mwongo.
 
Mtu aliye sawa kichwani hawezi amini unachoandika hapa.

Kumbuka unachokiandika kinadhihirisha kilichojificha kwenye medula yako.

Namna yako yakufikria haipo sawasawa.

Wewe ni mwongo.
🤣🤣🤣Kwakweli nilikuwaga nawasikia ila kwa nayoona kwa ndg hawa,, Arusha ni mibange na wasela mavi,,, niko njiro mkuu njoo unipige
 
🤣🤣🤣Kwakweli nilikuwaga nawasikia ila kwa nayoona kwa ndg hawa,, Arusha ni mibange na wasela mavi,,, niko njiro mkuu njoo unipige
Njiro sio hadhi yako bibie wewe ni mvaa yeboyebo tu hapo nyegezi na kuongea kilugha kwenye basi
 
Hizo sehemu zote ni mjini na utakutana na jamii ya watu tofauti tofauti, kusikia kilugha ni nadra sana. Utakuwa ulipita shamariwa mkuu.
Hata shamaliwa yenyewe kwa sasa huwezi kuta watu wanaongea kilugha,labda uende mbele huko maeneo ya fumagila....
 
Wahindi wenyewe kuna wengine hawajui kuongea kihindi hata kidogo...wanaongea lugha za ukanda wao mfano watu toka tamil nadu lugha tofauti kabisa na hao wa Mumbai
 
Hahahaaa halooo kwamba njiro kuna jipya lipi! Wasela mavi mko na shida sana bongo zenu zishafyatuka na mibange
Njiro umekuja housegirl sivyo utarudi kwenu soon baada ya kupigwa tukio ukiongea kilugha mjini😅
 
Njiro umekuja housegirl sivyo utarudi kwenu soon baada ya kupigwa tukio ukiongea kilugha mjini😅
Naongea kilugha wala sivungi, bora mie housegirl we msela mavi una nini zaidi ya kuvuta bangi na kuvaa kata kundu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…