Niliyoyaona Jijini Mwanza

Hayo ni madai yako.

Sasa kazi kwako kuthibitisha.

Tuanze na bangi. Je, wewe umevuta bangi na vijana wa A town? Au ulifahamu kwa namna gani?

Pili ushoga. Je, wewe binafsi umeshafanya ushoga mara ngapi ukafahamu hili?
Tunaishi nao njoo njiro nikuonyeshe hadi aibu
 
Shida Yako ni ushamba na hapo unataka Ligi ya Arusha vs Mwanza
 
Tunaishi nao njoo njiro nikuonyeshe hadi aibu
Inawezekana vipi wewe unaishi na kila mtu?

Andika vitu vyenye mashiko.

Nimekuuliza wewe umewahi kufanya ushoga na vijana wa A town?

Ukisema mnaishi nao hiyo maana yake na wewe ni mdau.

Je, nakosea kusema hivyo?
 
Shida Yako ni ushamba na hapo unataka Ligi ya Arusha vs Mwanza
Arusha kwanza inamalizwa tu na nyakato yote ama nyegezi pekee bana. Ligi gani ama unataka kuleta ukenya swaga Mana ndio zenu. Arusha ukishafika mianzini tayari unakutana na waarusha Kama kijiji
 
Arusha kwanza inamalizwa tu na nyakato yote ama nyegezi pekee bana. Ligi gani ama unataka kuleta ukenya swaga Mana ndio zenu. Arusha ukishafika mianzini tayari unakutana na waarusha Kama kijiji
Kwa kipi hasa? Mimi Huwa naona Mwanza Ina maisha ya kishamba na ya Vijijini jijini..

Kwa mfano uzuri wa Mwanza ni upi? Kama ni mandhari huwezi linganisha na Arusha,kama ni majengo mazuri hivyo hivyo,kama ni Mji kuwa busy Arusha Iko mbele ,kama ni wageni Arusha wako wengi na mwisho Arusha ni jirani na Nairobi Ina maisha ya kishua Sasa huo uzuri wa Mwanza ni upi?
 
Inawezekana vipi wewe unaishi na kila mtu?

Andika vitu vyenye mashiko.

Nimekuuliza wewe umewahi kufanya ushoga na vijana wa A town?

Ukisema mnaishi nao hiyo maana yake na wewe ni mdau.

Je, nakosea kusema hivyo?
Kwenye familia wapo jamaa walihamia huku kitambo hapa nilipo nimekuta vijana wawili wako vibaya kwa matumizi hayo ya madawa ya kulevya na mmoja katoroka sober house hivi juzi tu, achana na majirani, jamii hii ni ubabe, ushoga, bangi, ulevi ndo mkoa ambao wanawake wana hulka za kiume, ,

Najua inawauma ila ndo hivyo mnywe ama mteme, mna ujinga mwingi sana
 
La makoroboi. Ungeniambia nikupeleke walipopelekwa
 
Envy emotions
 
Mkuu hakuna mji ambao una watu wabaya tu, wapo ambao ni wazuri. Hata Gamboshi kunakosifika kwa uchawi wapo ambao hawapractice huo uchawi, lakini hii haiondoi kwamba Gamboshi kuna tabia fulani ambazo zinafahamika.

Labda nikutolee mfano mwingine; mimi nimesoma hapo High School, na pale shule machalii wa chuga walikuwa wanamakundi yao na wanajiona wao ndo wao (again, sio wote) sijui walikuwa wanajiona wanajua kuvuta bange vizuri au vipi. Hawa jamaa walikuwa wanatuchukia sana tuliotoka mikoani tena hasa hasa Dar, yani mtu umevaa zako smart umepiga pasi basi utaitwa bishoo mara mtoto wa mama na majina mengine mengi sababu tu wao labda wapo rough na milegezo yao. Kuna scenario moja ilitokea nikashangaa sana, kuna mchizi wetu wa Dar alikuwa akinata na mtoto mmoja mkali wa chuga, na huyo demu kuna jamaa wa chuga alikuwa akimpenda sana lakini demu akawa hamuelewi. Siku moja tupo dinner tunashangaa mchizi kabananishwa na machizi kama watano wa Arusha wanataka kumfanyia fujo. Sababu tu eti anatembea na demu wa Arusha yeye mtoto wa mama wa Dar aachane nae. Kilichosaidia na sisi wa Dar tulikuwa na jamaa mmoja ulikuwa unamtoka mkono kinoma, yule ndio alikuja kuokoa lile jahazi. Bila hivyo lazima jamaa wangemzuru!!

Sasa hiyo ni scenario moja tu, lakini tabia kama hizi ni kawaida sana hapo Arusha, ndio maana hata mimi nilivyorushiwa mawe wala sikupanic nikajiona kama ni mkosefu. Nalikuwa nikifahamu hizi tabia zao!!

Sabaya na Gambo ni typical mfano wa vijana wa Arusha na tabia zao. Ukiacha hawa ambao wana tabia za ovyo ovyo wapo washkaji wa Arusha ni watu poa sana. I can’t forget some memories at Club AQ enzi hizo, Masai Club, La Fiesta na Pool table na washkaji pale Sun-dip, swimming Arusha Hotel!! I had a very good time there na siwezi regret
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…