Niliyoyaona Jijini Mwanza

Wapita njia hawawezi kukulewa..
Wanywaji wa mrina na picnic hawawezi kukuelewa.
Watakuelewa watu walio set stds zao na maeneo yenye hadhi Arusha.

Anayeshinda matejoo, unga ltd na Ngarenaro hawezi kuelewa uyasemayo
Kwani huko unakutaja sio Arusha??
 
Basi hiyo ni experience mbaya. Binafsi ninaamini kila mtu anastahili heshima lakini pia kila mtu ana uhuru wakuvaa vile anavyopenda kwa kuzingatia jamii inayomzunguka.

Hao vijana wenzake walifanya vyema kumkamata kama unavyosema.

Je, kwa walichokifanya hao vijana wengine huoni hiyo ni jambo jema hata wakakusaidia?

Je, huoni hiyo inathibitisha wakazi wa A town ni wema mbali na wabaya wachache? Ambao kila mji kuna watu wa namna hii japo ubaya wao unaweza kuwa kwa namna nyingine?
 
Watu wa Arusha ni matapeli na wavuta bangi,, njooni mnipige niko njiro
Wakupige kwasababu gani?

Hoja yako inakosa maana.

Huu ni mjadala. Tunapigana kwa hoja.

Kama unayo weka mezani. Wajumbe wataiunga mkono au kuipinga.
 
Lugha yako ya nani wewe tulipaswa kuwa na lugha moja tu kiswahili futilia mbali lugha za makabila lengo kujenga umoja lugha ni chanzo cha kujenga umoja au kubomoa.
 
Inawezekana vipi hujazungumzia experience yq mbususu na minyanduano
 
Hata media coverage hawaoni watafute watu wanaongoza kwa watangazaji wenye umaarufu na influence kubwa lazima wawe na swaga za chuga...
 
Hata media coverage hawaoni watafute watu wanaongoza kwa watangazaji wenye umaarufu na influence kubwa lazima wawe na swaga za chuga...
Kwa lipi Sasa. Na wewe umesoma chuo ama shule gani. Mbona hayo sikuyaona mie wakati nasoma. Shida ya huko ukenya umewaathiri mno. Mana Kenya watu wanashindana kikabila na kikanda na suala la kujitenga kimajimbo linatokea huko huko. Unakumbuka mareale aliwahi kwenda un kudai Uhuru before ya nyerere Ila yeye aliomba wapewe Uhuru wa kaskazini sijui ndio wachaga wenyewe so akanyimwa.

Kama kusoma nimesoma shule ambazo watanzania wote tunakutana bila kujali mkoa na shule level ingine nimesomea Arusha
 
Hii chumvi ni magadi kabisa ya pale ziwa Balang'ida Lehu
Mkuu, kama kuna mdau humu anaetoka Mwanza muulize. Nilikaa muda mchache sana lakini hii ndo ilivutia. Maeneo mengine mengi tu nimesahau.
 
Bangi, ushoga, ubabe na utapeli ni tabia za vijana wengi Arusha
Hayo ni madai yako.

Sasa kazi kwako kuthibitisha.

Tuanze na bangi. Je, wewe umevuta bangi na vijana wa A town? Au ulifahamu kwa namna gani?

Pili ushoga. Je, wewe binafsi umeshafanya ushoga mara ngapi ukafahamu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…