Niliyenaye simpendi ila naogopa kumuacha kwa kuwa anataka kunioa na umri umeenda

Nipo kwenye mahusiano ambayo simpendi mtu niliyekuwa naye kwa matakwa yangu binafsi na wasiwasi kumuacha huenda nikakosa mwanaume wakunioa uko mbeleni.

Kiukweli kila akinitamkia kunioa sijisikii kabisa na wanaume naowapenda hawanitongozi na umri unaenda yaani sijui nifanyeje mwenzenu.

1. Hiyo ndoa itakuwa batili, 2. na hilo ndio lengo la karibu wanawake wengi, 3. kama hawakutongozi, watongoze wewe indirectly, mfano kuwa na bashasha, smiling face, etc.
 
Anatakiwa ampate huyo anaemtaja yeye ili aning'inizwe mpaka ajiskie kufa kufa !!! Akili ikirudi atajua ni lulu kiasi gani alipoteza.

Mwanamke huwa haelewagi mpaka pale anapopotea njia mazima. Acha apigwe kazi kwanza atamkumbuka jamaa.
 
Ataishia kuchepuka na kuleta watoto wa nje nyumbani. Siku hizi hawaitwi watoto haramu kwani kitanda hakizai haramu. Sidhani kama bado kuna watu wanafanya mapenzi kitandani hasa wanaochepuka.
Sema sababy mawazo yake yapo nje nje huko ndio maana. Angeamua kumpenda huyo baba angempenda tu. Maana ninavyojua unaweza jifunza kumpenda mtu
 
Sema sababu mawazo yake yapo nje nje huko ndio maana. Angeamua kumpenda huyo baba angempenda tu. Maana ninavyojua unaweza jifunza kumpenda mtu
Designers wana phrase hupenda kuitumia, "It will grow into you" Yani endapo wametoa model flani mpya with new design language au ambayo iko tofauti sana na model ya mwanzoni kiasi kwamba wateja watachanganyikiwa kwa muda.

Huwa wanaitumia hio phrase kuondoa hofu, ni sawa tu na kusema ni nzuri na amini utakuja kuipenda tu baada ya kukaa nayo na kuizoea kwa muda mrefu. Ni namna ya ku trick ubongo na kweli huwa inatokea unaanza kuipenda after some time.

Hata katika mahusiano hili lipo...Unaweza ukawa hujavutiwa na mtu at glance ila ukianza kuwa karibu nae unagundua kuna mengi mazuri yuko nayo basi unaanza ku fall in love nae. Binafsi nakubali its possible to learn to love someone endapo uta encourage positivity katika ubongo wako.
 
Hii point yako nimeikubali sana,namkumbuka jamaa yangu alikuwa na girlfriend wake akawa anampondea vibaya na kila wanachofanya alikuwa anatuambia,nikaja kushangaa jamaa kaja kumuoa baada ya kuishi nae kwa muda kama miezi sita hivi (I will grow into you) 😂 ...
 
Yani kwakweli acha mwanaume akupende ni raha sana sio kule nilikokuwa nahangaika niwapende mimi nilikuwa naumizwa tu,kila siku vitimbi yani kidogo ninge chizika
Ila siku hizi nina amani,sipigwi matukio kama ya mabaharia kweli huwezi kujua thamani ya kitu ukiwa nacho
I bet huyu dada 5 years to come atakuwa na majuto mengi tu
Akubali kuolewa na jamaa,mwanamke anatakiwa kumuheshimu mume mambo ya kupenda ni ya mwanaume
Wanawake wajanja huwa wanajiweka wanakopendwa tu...its the major Key!

Wale washamba ndio wanakomaliaga wasipopendwa hasa kwa mabishoo ukichunguza anataka awaoshee mashosti kwamba ana bwana mzuri 😂😂😂 HB ila deepdown anateseka kinoma atajinunulisha nguo, vizawadi ila jamaa anakuwa na roho ya kijumbe tu 🤣🤣🤣!!!

Ila kwa mwanaume anayekupenda hata kama hana, atakuwa na moyo wa kupambana kinyama mradi tu kuhakikisha mko level. Kazi yako ni kumheshimu na kumtia moyo mambo yatakwenda smooth sana.
 
Designers wana phrase hupenda kuitumia, "It will grow into you" Yani endapo wametoa model flani mpya with new design language au ambayo iko tofauti sana na model ya mwanzoni kiasi kwamba wateja watachanganyikiwa kwa muda.

Huwa wanaitumia hio phrase kuondoa hofu, ni sawa tu na kusema ni nzuri na amini utakuja kuipenda tu baada ya kukaa nayo na kuizoea kwa muda mrefu. Ni namna ya ku trick ubongo na kweli huwa inatokea unaanza kuipenda after some time.

Hata katika mahusiano hili lipo...Unaweza ukawa hujavutiwa na mtu at glance ila ukianza kuwa karibu nae unagundua kuna mengi mazuri yuko nayo basi unaanza ku fall in love nae. Binafsi nakubali its possible to learn to love someone endapo uta encourage positivity katika ubongo wako.
Ni kweli kabisa. Hapo mawazo yake yapo kwa watu ambao hawana mpango naye.
 
Nipo kwenye mahusiano ambayo simpendi mtu niliyekuwa naye kwa matakwa yangu binafsi na wasiwasi kumuacha huenda nikakosa mwanaume wakunioa uko mbeleni.

Kiukweli kila akinitamkia kunioa sijisikii kabisa na wanaume naowapenda hawanitongozi na umri unaenda yaani sijui nifanyeje mwenzenu.

Unawapenda wanaume wa aina gani?
 
Wanawake wajanja huwa wanajiweka wanakopendwa tu...its the major Key!

Wale washamba ndio wanakomaliaga wasipopendwa hasa kwa mabishoo ukichunguza anataka awaoshee mashosti kwamba ana bwana mzuri HB ila deepdown anateseka kinoma atajinunulisha nguo, vizawadi ila jamaa anakuwa na roho ya kijumbe tu !!!

Ila kwa mwanaume anayekupenda hata kama hana, atakuwa na moyo wa kupambana kinyama mradi tu kuhakikisha mko level. Kazi yako ni kumheshimu na kumtia moyo mambo yatakwenda smooth sana.
Tena mwanamke kupata mwanaume anayekupenda raha sana. Majirani wanaweza kusema umemuendea kwa mganga kumbe mapenzi tu
 
Hii point yako nimeikubali sana,namkumbuka jamaa yangu alikuwa na girlfriend wake akawa anampondea vibaya na kila wanachofanya alikuwa anatuambia,nikaja kushangaa jamaa kaja kumuoa baada ya kuishi nae kwa muda kama miezi sita hivi (I will grow into you) 😂 ...
Hahahah huyo aligundua kuna mengi mazuri yuko nayo. Unajua kuna vitu kadhaa unaweza kuvi overlook katika personality ya mtu. Unaweza kuta alikuja kuona ni minor issues tu kwenye ustawi wao au ambazo zinasolvika maybe kila akimuelekeza wanaenda sawa.
 
Tena mwanamke kupata mwanaume anayekupenda raha sana. Majirani wanaweza kusema umemuendea kwa mganga kumbe mapenzi tu
Hahahah burudani sana, sie pia hufurahi kuwa na mke anayetuheshimu, msikivu na mwenye positivity & encouragement. Kila hatua unayopiga anakuombea heri na kukupa moyo hata kama mambo hayako upande wako.
 
Tena mwanamke kupata mwanaume anayekupenda raha sana. Majirani wanaweza kusema umemuendea kwa mganga kumbe mapenzi tu
And vice versa is true,kupendwa raha sana asikudanganye mtu,unakuta mzee mzima unatoka kazini unanyoosha moja kwa moja nyumbani,vicheche wakijipitisha na vinguo vyao vifupi hata huwaoni, na ikifika weekend ndio kabisa hata kutoka hutoki,unabadilisha tu viwanja chumbani,sittingroom,jikoni...
 
Nipo kwenye mahusiano ambayo simpendi mtu niliyekuwa naye kwa matakwa yangu binafsi na wasiwasi kumuacha huenda nikakosa mwanaume wakunioa uko mbeleni.

Kiukweli kila akinitamkia kunioa sijisikii kabisa na wanaume naowapenda hawanitongozi na umri unaenda yaani sijui nifanyeje mwenzenu.
Pole sana, nimewai kukutana na mschana mwenye masahibu kama yako.
Yeye aliamua kufata moyo wake, hadi muda huu natype tayari ana ndoa yake anayoipenda na inazidi kushamiri.

Kadri unavyosita kumweka wazi ndivyo unavyozidi kujichelewesha wewe hasa japo na yeye pia unamchelewesha. Lakini wanaume haitupi sana shida kwani tunaenda wenyewe kutafuta. Ila wewe umri ukiyoyoma itakuwia vigumu sana kumpata umpendae.

Hautongozwi na unaowapenda kwasababu tayari una mtu.
Mweke pembeni watu tukuone upo single tuanze kuleta mashambulizi.

Picha plz walau moja."
 
Ile wanawake sometimes mnakuwaga viaZi kweli

Sasa humpendi halfu upo nae kwenye mahusiano ili iweje sasa??maana ungekuwa mwanaume ningesema nyege zinakusumbua au ndo unapewa hela ya kusuka kila week...

Naogopa nitakosa mume,tongoza unayempenda sasa si sikuhizi manjifanya mnajua mnachokitaka!tongoza ugongwe uachwe akili zikae sawa.

Mwanamke kuwa mwanamke acha kipembelembele cha kujifanya unajua unachokitaka wakati unasubiri kutongozwa hapo ulipo.Wewe usubiri utongozwe muangalie anayekutongoza anafaa????sema ndio au hapana.Usitake kujifanya mwanaume ndo mnapoteza thamani kijinga jinga hivyo hivyo

Muache huyo mkaka kuwa busy na maisha utapata anayekupenda na sio uanze kujitongozesha hovyo kwa unaowapenda wewe..mnapoteza thamani kijinga kijinga mwisho wa siku mnakuja kujifanya strong woman mitandaoni kumbe mastress tupu yanawamaliza ndani kwa ndani
 
Kweli wanawake ni wapumbavu Sana nyie ndo mnaokuja kuwasumbua watumishi wa Mungu wawaombee mpate wenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom