Niliyenaye simpendi ila naogopa kumuacha kwa kuwa anataka kunioa na umri umeenda

Jua ata ukiolewa ndoa yako haitadum. Maana umefata hadhi ya kuolewa ila moyo wako haupo tayar kuishi nae
 
Jua ata ukiolewa ndoa yako haitadum. Maana umefata hadhi ya kuolewa ila moyo wako haupo tayar kuishi nae
 
hivi ni lini watoto wa kike tutabadilika hivi unaofia umri kukuacha kuliko furaha yako mwenyewe kwani usipoolewa itakuaje ifike mahali tujifikirie sisi kwanza furaha yako kwanza ni muhimu kuliko kitu chochote kile hivi unaielwa ndoa kweli hivi ulishawahi kuutafakari ule usemi wa wahenga kosea kujenga nyumba maana utaibomoa uanze upya lakini sio kukosea kuoa au kuolewa hivi huwa unauelewa embu acha ujinga hapo tu hajakuoa humpendi ndio kashakuoa na tabia nyingine anaanza kukuonyesha si utakufa wewe kama unaolewa kwa sababu umri unaenda achana nayo fanya kitu kingine muombe Mungu ukupe chaguo lako.
 
KUWA MUWAZI MUACHE AENDE ZAKE WAPO WENGINE WATAMCHUKUA NA KUMFANYA AKUSAHAU DAIMA NA MILELE...MUACHE AENDE KAMA IPO IPO TU. MUNGU SIO BABA YETU
 
Yanini ukaishi kwenye ndoa ambayo hautakuwa na furaha nayo, na baadaye utampata maumivu huyo anayekupenda....mwache atapata atakae mfaa na wewe tafuta utayeridhika nae.
"Anayekutaka humtaki, unaemtaka humpati, naye Yuko bize anambembeleza ambaye hamtaki"🤣🤣🤣
 
Kwani ni kitu gani hasa hukipendi kutoka kwake smoerishi? Hana kigezo gani ambacho unakitaka wewe? Na ilikuwaje hasa mpaka mkawa kwenye mahusiano? Wakati mwingine ndoa inaweza kuwa ni zaid ya Fantasy. Wasiwasi wako ni wa msingi ila tu uwe na wasiwasi wa kumpoteza huyo jamaa wala sio ndoa. Nnachoona hapa umeshaamua kumuacha huyo jamaa vile umekosa tu sababu. Siku mkeka ukichanika uje hapa pia kuomba ushauri pia
 
Siku nikijua mwanamke wangu anipendi yuko tu na Muda wangu keshaupoteza asee gunia mbili za mkaa lazima zimuhusu..

Pumbafu kabisa.
 
Muhimu ni kumuacha, utaenda kumtesa na huwez jua reaction yake, mnaweza sababisha mauaji, acha subiri umpendae
 
Hapo ndio huwa nashindwa kujua,mwanamke anahitaji nini toka kwa mwanaume,,,
K anaikologa kila siku na umefuata process zote za kumpa K aikologe,
Kuanzia kuvua viatu, gauni, sidiria, chupi,kutanua miguu,
Lakini bado jamaa humpendi kana kwamba ulishikiwa mtutu wa bunduki,

Ebu muache jamaa aende akapendwe na wenzio kabla nguvu hazijaisha, wewe endelea kusubiri umpendae na ukiona unachelewa karibu jukwaa pendwa,, Love connect,, utawakuta akina gudume watakuhudumia
 
Mungu amnusuru kijana wake, ili mwenye uhitaji wa mume ampate.
Lakini pia akupe umri na uvumilivu wa kungojea wale uwapendao.
 
Halafu kuna mpuuzi mmoja hapo nje anataka kumjua Mwanamke anataka nini. Mimi mwenyewe kuna dem mmoja namuangalia tu, keshaniona ka zombi lake vile
 
Nipo kwenye mahusiano ambayo simpendi mtu niliyekuwa naye kwa matakwa yangu binafsi na wasiwasi kumuacha huenda nikakosa mwanaume wakunioa uko mbeleni.

Kiukweli kila akinitamkia kunioa sijisikii kabisa na wanaume naowapenda hawanitongozi na umri unaenda yaani sijui nifanyeje mwenzenu.
Naomba unijibu.

Je kwa kutumia akili yako, unadhani unachofanya ni sahihi?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom