niliyapenda maisha ya dar nahama huku mkoani!

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,933
23,279
wakuu nipeni mwongozo wa maisha halisi ya dar kwa daraja la kawaida, nina mke nina fani fundi useremala. nimekaa morogoro miaka 10 bila ya mafanikio ndio maana natamani kuondoka hapa,m sina uzoefu sana na dar ila naitaji kuja huko naomba mwongozo.
 
Njoo mjomba Kobelo, kama unaweza kupaua nyumba, utatoka tu, vitanda sie tunalalia magodoro tupu!
wakuu nipeni mwongozo wa maisha halisi ya dar kwa daraja la kawaida, nina mke nina fani fundi useremala. nimekaa morogoro miaka 10 bila ya mafanikio ndio maana natamani kuondoka hapa,m sina uzoefu sana na dar ila naitaji kuja huko naomba mwongozo.
 
wakuu nipeni mwongozo wa maisha halisi ya dar kwa daraja la kawaida, nina mke nina fani fundi useremala. nimekaa morogoro miaka 10 bila ya mafanikio ndio maana natamani kuondoka hapa,m sina uzoefu sana na dar ila naitaji kuja huko naomba mwongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…