niliyapenda maisha ya dar nahama huku mkoani!

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,907
23,203
wakuu nipeni mwongozo wa maisha halisi ya dar kwa daraja la kawaida, nina mke nina fani fundi useremala. nimekaa morogoro miaka 10 bila ya mafanikio ndio maana natamani kuondoka hapa,m sina uzoefu sana na dar ila naitaji kuja huko naomba mwongozo.
 
Njoo mjomba Kobelo, kama unaweza kupaua nyumba, utatoka tu, vitanda sie tunalalia magodoro tupu!
wakuu nipeni mwongozo wa maisha halisi ya dar kwa daraja la kawaida, nina mke nina fani fundi useremala. nimekaa morogoro miaka 10 bila ya mafanikio ndio maana natamani kuondoka hapa,m sina uzoefu sana na dar ila naitaji kuja huko naomba mwongozo.
 
wakuu nipeni mwongozo wa maisha halisi ya dar kwa daraja la kawaida, nina mke nina fani fundi useremala. nimekaa morogoro miaka 10 bila ya mafanikio ndio maana natamani kuondoka hapa,m sina uzoefu sana na dar ila kajaribu ndugu

Ushauri wangu njoo mikoani hiyo fani yako utapata mafanikio makubwa
 
Back
Top Bottom