Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,917
- 23,236
wakuu nipeni mwongozo wa maisha halisi ya dar kwa daraja la kawaida, nina mke nina fani fundi useremala. nimekaa morogoro miaka 10 bila ya mafanikio ndio maana natamani kuondoka hapa,m sina uzoefu sana na dar ila naitaji kuja huko naomba mwongozo.