Niliwrong namba ya simu,akapokea msichana,sasa mambo yapo hivi:

Niliwrong namba ya simu,akapokea msichana,sasa mambo yapo hivi:

ooh!..nimekumbuka bby...unaonaje ukalala hukohuko maana mda si mrefu ntatoka na safari ya kikazi na mbaba mmoja nzanzibar,ntarudi wiki ijayo eeh!

Sawa bby...angalia ile jeans ya blue nilivaa jana kwe mfuko wa nyuma kuna tatu bomba...chukua pakti jipya iyo iliyotumika iache ntaitumia na mdd wa kaz...
 
How are you great thinkers?

Miaka miwili iliopita niliwrong namba,akapokea msichana fulani,alidai ni mwenyeji wa arusha,kwa hiyo nikagundua nilikosea namba,

After sometimes nilihisi kuridhika sana na sauti ya Ukarimu na unyenyekevu ya yule binti,kwa kuwa sikuwahi kupenda ktk maisha yangu,haraka haraka bila kuchelewa nikamtafuta then nikamseduce,yule msichana alinifokea na kunitukana akidai atawezaje kunipenda wakati hanifahamu?

sikukata tamaa nikaendelea kumfuatilia, mwisho wa siku akatick..nilimpenda sana kwa kuwa sikuwahi kupenda,naye pia anadai ananipenda sana na ana ndoto za kuonana na kuoana na mimi,ni miaka miwili imepita sasa nampenda balaa,japo sijui yupoje(phenotypically)!

1.Je naweza kuja kuoana na msichana huyu nimpendaye hapo baadae?

2.Itakuwaje siku mungu akijaalia tukaonana? 3.tunaweza kudumu katika pendo la dhati?
NAOMBENI Ushauri wenu na mawazo mengine kama yapo kuhusu hii issue!


Thanks a lot!

Nyie nao...hamtumii ata whatsapp mkapeana picha angalau basi
 
hahahaa!mm na ww aliyeleta utumbo nani?? zee Zima akili za kuazima,toka hapa na hadithi zako za kusadikika.
 
Swali lako #1 . Sidhani yupo mwenye IQ ya kulijibu, hata sielewi unauliza swali kama hili ukitegemea jibu gani. anyway, home of great thinkers has answers for every question.

Swali #2 . Itakuwaje siku Mungu akiwakutanisha? wataka tujibu vipi hapo, nilipata taarifa Sheikh Yahya ameshatangulia mbele ya haki.
....Nyie mnaopenda kuleta mada basi kaeni mtafakari vitu gani muwaletee watu wajadili...khaaa!!
 
Isee hapo ni sheeda for two yrs only hamjaonana atakuwa kashaaliwa na wajanja
 
Nyie nae hamko criaz miaka 2 hamjaonana hata cku moja, kilichokushinda kupanda basi kwenda kumuona huko aliko ni nn japo cku moja tu then kesho yake unageuza, na una hakika na yy ametulia tu huko anajihesabu ana mpenz? Plz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom