Niliwrong namba ya simu,akapokea msichana,sasa mambo yapo hivi:

Niliwrong namba ya simu,akapokea msichana,sasa mambo yapo hivi:

Ee miaka miwili yote bado hamna aliyekubali mkutane? Si utakua umeshapata wanaoonekana afu unamdanganya uyo ambae humjui unampenda.
 
Mkuu ufundishe moyo kuisikiza akili kabla ya kuingia kwenye mambo ya alinacha
 
da hivi hizi stori za kitototo bado zipo aisee??
 
Kama hakupigi mizinga, huyo atakua demu wa ukweli na wife material.
 
Hivi kamanda wangu, technology Ilivyo kubwa miaka 2 hamjaonana hata picha tu hamjatumiana,Hebu edit vizuri hadithi yako basi ipate ladha
 
Outta my league!! Kids come and join this discussion, I'm on my way to "Hard Talks"
 
Kama huna wats up uo mchina wako ata facebook hauiingii akutumie picha inbox?.....bado unaish analojia...

Bby maswala ya kushinda jf nshakukataza...haraka uje huku,kuna kupika na nguo za kufua,ukikuta nimelala usiniamshe,maji na sababu unajua pa kuvipata...
 
Bby maswala ya kushinda jf nshakukataza...haraka uje huku,kuna kupika na nguo za kufua,ukikuta nimelala usiniamshe,maji na sababu unajua pa kuvipata...

Mepitia kwa mke mwenzako...wacha leo akusaidie majukum..
 
Jaman c tulikubaliana il jambo jmn...bas km umeamua kunywa sumu ucntaje!

ooh!..nimekumbuka bby...unaonaje ukalala hukohuko maana mda si mrefu ntatoka na safari ya kikazi na mbaba mmoja nzanzibar,ntarudi wiki ijayo eeh!
 
Wrong no? Assume ingekuwa right one, ulitaka isomekeje? Watu wengine chenga sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom