Shaaban Haufi
Member
- Apr 18, 2014
- 75
- 10
How are you great thinkers?
Miaka miwili iliopita niliwrong namba,akapokea msichana fulani,alidai ni mwenyeji wa arusha,kwa hiyo nikagundua nilikosea namba,
After sometimes nilihisi kuridhika sana na sauti ya Ukarimu na unyenyekevu ya yule binti,kwa kuwa sikuwahi kupenda ktk maisha yangu,haraka haraka bila kuchelewa nikamtafuta then nikamseduce,yule msichana alinifokea na kunitukana akidai atawezaje kunipenda wakati hanifahamu?
sikukata tamaa nikaendelea kumfuatilia, mwisho wa siku akatick..nilimpenda sana kwa kuwa sikuwahi kupenda,naye pia anadai ananipenda sana na ana ndoto za kuonana na kuoana na mimi,ni miaka miwili imepita sasa nampenda balaa,japo sijui yupoje(phenotypically)!
1.Je naweza kuja kuoana na msichana huyu nimpendaye hapo baadae?
2.Itakuwaje siku mungu akijaalia tukaonana? 3.tunaweza kudumu katika pendo la dhati?
NAOMBENI Ushauri wenu na mawazo mengine kama yapo kuhusu hii issue!
Thanks a lot!