Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Story zimekuwa nyingi Hadi nashindwa nisome ipi na kumaliza

Yuko SAS HV

Poker
UMUGHAKA
Analyse
Pettymagambo
SteveMollel
Jack Daniel

Wote Hawa Wana story zao zinatembeaa

Unaweza kuchanganya visa vya wasimuliaaji

Ni vyema mmoja amalize story Kisha mwingine aanzishe yake na siyo kuturundikia story zote hzo kwa wakat mmoja

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi Katika story zangu zote ambazo nimekuwa nikiweka jukwaani, huwa nasubiria pakiwa hakuna jam ya story. Hii story ambayo naandika now, niliplan kuiweka tokea last year, ila kukawa na story 2 za Steve na moja ya Umughaka. Nikabaki kuwa msomaji, sikuanzisha story.

Ugumu unaokuja, Mtu akianzisha story ambayo inaweza isha ndani ya wiki mbili, atajivuta hata mwezi, miezi au zaidi. Sijui tatizo linakuwa wapi au ndio kusaka attention. Unakuta Uzi unawachangiaji wengi, ila humo ndani yamejaa malumbano tu, story haiendelei.
 
Kutaka attention tu mkuu
 
Mkuu muwe mnaweka tu jamani, wengine tuna vipaji vya kusoma na hobby yaani tunasoma vitu vingi kwa wakati mmoja na tunaenjoy.....
 
Back
Top Bottom