Niliwazaaaaaaaaaaaaa

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,230
Wanafunzi wawili baada ya kumaliza mtihani wa Kiswahili wakawa wanaongea.

Mwanafunzi 1:Mtihani ulikuwa mzuri sana na mda ulitosha.
Mwanafunzi 2:Maswali yote marahisi ila isipokuwa swali la 5 lilikuwa ngumu na sikujibu.
Mwanafunzi 1:kwani swali la 5 linasemaje?
Mwanafunzi 2:ilikuwa inauliza kuiweka neno'''NINAWAZA""katika mda ulipotita,basi niliwazaaaaaa,niliwazaaaaaa sana
mpaka sasa sijapata jibu.
 
Kuna jamaa alikuwa ni mfagiaji kwenye ndege. Siku moja wakati anafagia chumba cha mapilot akakuta kitabu kilichoitwa,'Jifunze kurusha ndege kitabu cha kwanza' Kufungua ukurasa wa kwanza, kukawa na maelezo' Kuwasha injini bonyeza kitufe cha kijani, akabonyeza na injini zikawaka akaona raha, Ukurasa wa pili ukawa na maelezo ukitaka ndege ianze kutembea bonyeza kitufe cha bluu, akabonyeza ndege ikaanza kwenda mbele, ukurasa unaofuata ukawa na maelezo ukitaka ndege ipae bonyeza kitufe chekundu, akabonyeza ndege ikapaa akajiona mjanja saaaana. Akaanza kutafuta namna ya kutua , akafungua kitabu mpaka mwisho akakuta sentensi inasema kwa maelezo ya kutua, nunua 'Jifunze kurusha ndege kitabu cha Pili'.
 
Jamaa alikuwa safarini kikazi akafikia guest sikuiyo alijiona mnyonge akaamua kumuuliza muudumu mmoja wa kiume kuwa anashida na demu mhudumu akamwambia mademu wapo ila sisi tunawatambua kwa majina ya magari jamaa akasema sasi niitia benz muudumu akasema limetoka sasaivi"ila limebaki vorkswagon tu nikuitie!jamaa akasea niitie tu nipo chumba no13 jamaa akaenda chumbani baada ya muda akagongewa na aliingia mwanaume shoga jamaa akamaind sana akamfata mhuduma na kumuliza kwanini umeniletea shoga mhudumu akamwambia iyo ndo vorkswagoni coz injini yake ipo nyuma.

Mkuu anayehusika na wanafunzi wa chuo akiwafafanulia jambo wanafunzi wapya chuoni "ndugu zangu... Bweni la wasichana ni wasichana tu na wanaume ni wanaume tu." Akiendelea kuwaasa "atakae kamatwa mara ya kwanza atalipishwa faini ya elfu 20, mara ya pili elfu 60, mara ya tatu elfu 180." Mwanafunzi mmoja akanyoosha mkono kuashiria anaomba kuuliza swali, aliuliza hivi "je? Ni shilingi ngapi kwa muhula mzima?"
 
Baba akiwa matembezini jioni na mwanae: Mtoto: Baba huyu sio njiwa amekufa? Baba: Amekufa ndio, keshaenda kwa Mungu. Mtoto: Sasa mbona Mungu kamrudisha hapa tena?

jamaa kajichora tatoo mwilini majina ya vifaa vya michezo demu wake akawa anasoma kifuani nike ,pajani REEBOK mgongoni PUMA, kiunoni FILA, kwenye uume AIDS demu akashtuka kwa nini umeandika hapa AIDS jamaa akajibu usiogope dear ikisimama itasomeka ADIDAS.
 
Kuna jamaa alikuwa ni mfagiaji kwenye ndege. Siku moja wakati anafagia chumba cha mapilot akakuta kitabu kilichoitwa,'Jifunze kurusha ndege kitabu cha kwanza' Kufungua ukurasa wa kwanza, kukawa na maelezo' Kuwasha injini bonyeza kitufe cha kijani, akabonyeza na injini zikawaka akaona raha, Ukurasa wa pili ukawa na maelezo ukitaka ndege ianze kutembea bonyeza kitufe cha bluu, akabonyeza ndege ikaanza kwenda mbele, ukurasa unaofuata ukawa na maelezo ukitaka ndege ipae bonyeza kitufe chekundu, akabonyeza ndege ikapaa akajiona mjanja saaaana. Akaanza kutafuta namna ya kutua , akafungua kitabu mpaka mwisho akakuta sentensi inasema kwa maelezo ya kutua, nunua 'Jifunze kurusha ndege kitabu cha Pili'.

nimecheka sana khaaa
 
Jamaa alikuwa safarini kikazi akafikia guest sikuiyo alijiona mnyonge akaamua kumuuliza muudumu mmoja wa kiume kuwa anashida na demu mhudumu akamwambia mademu wapo ila sisi tunawatambua kwa majina ya magari jamaa akasema sasi niitia benz muudumu akasema limetoka sasaivi"ila limebaki vorkswagon tu nikuitie!jamaa akasea niitie tu nipo chumba no13 jamaa akaenda chumbani baada ya muda akagongewa na aliingia mwanaume shoga jamaa akamaind sana akamfata mhuduma na kumuliza kwanini umeniletea shoga mhudumu akamwambia iyo ndo vorkswagoni coz injini yake ipo nyuma.

mpaka saa hii mbavu zangu zimeharibika
 
Back
Top Bottom