Babu DC, Uchokozi huo sasa
Napenda kuwafahamisha kuwa mwezi hatimaye umeonekana. Ukiwa kaunta hapa Kingstar unauona live na mimba yake, kesho hamnakipingamizi tena..

Mpaka dkk hii sijapata Mwaliko wa Eid ..hata Malaria sugu hatupi mwaliko jamani..

Nawatakia sikukuu njema wapendwa tukaribishane .

Mpaka dkk hii sijapata Mwaliko wa Eid ..hata Malaria sugu hatupi mwaliko jamani..

Nawatakia sikukuu njema wapendwa tukaribishane .

Fello tablet, we si nlikuacha Husninyo? Unataka kumfanya nini Keren wangu?

Husninyo kapangiwa arenjid merieji na mkulima mwenzake hapa JF anakwenda kwa jina la salanga, wazee wamempa mkwala akimkataa salanga hakuna urithi!

balaa!
Kamanda unafahamu spanish lady yuko kwangu sasa huyu Salanga ambaye hata TIN number hana ndio nani ? kubali matokeo mkuu.Husninyo kapangiwa arenjid merieji na mkulima mwenzake hapa JF anakwenda kwa jina la salanga, wazee wamempa mkwala akimkataa salanga hakuna urithi! balaa!
That my girl.

dah! Ningesoma ulichokiandika ungenikoma leo. Ngoja niskip haka kapost kako.
Kamanda unafahamu spanish lady yuko kwangu sasa huyu Salanga ambaye hata TIN number hana ndio nani ? kubali matokeo mkuu.

amenishinda huyo. Habebeki kwa rambo wala gunia.

Kamanda soma hii sredi mwanzo mpaka mwisho ! na kama una blood presha nakushauri usifungue, yaani salanga wa Mkulanga kachafua misheni yote aisee

https://www.jamiiforums.com/love-connect/163545-natamani-awe-rafiki-mshauri-wangu.html

Kamanda unafahamu spanish lady yuko kwangu sasa huyu Salanga ambaye hata TIN number hana ndio nani ? kubali matokeo mkuu.

That my girl.
Nimeisoma mkuu sijaona cha ajabu ukiwa na kifaa cha nguvu lazima kila mtu atajaribu bahati yake lakini namwamini Hus atatengua mashuti yote aliwahi chezea Twiga stars kama golikipa.Kamanda soma hii sredi mwanzo mpaka mwisho ! na kama una blood presha nakushauri usifungue, yaani salanga wa Mkulanga kachafua misheni yote aisee
https://www.jamiiforums.com/love-connect/163545-natamani-awe-rafiki-mshauri-wangu.html
Unaruhusiwa kufanya mazoezi ya kuwaendeleza hawa vijana wadogo ili wapate stadi za kuwaingia kina dada,sijambo sweety.

hahahahaha! Uporoto bebii mambo? Achana na kloro mchonganish. Salanga alikuwa anafarijiwa asije akajinyonga.lol.

Nimeisoma mkuu sijaona cha ajabu ukiwa na kifaa cha nguvu lazima kila mtu atajaribu bahati yake lakini namwamini Hus atatengua mashuti yote aliwahi chezea Twiga stars kama golikipa.

Unaruhusiwa kufanya mazoezi ya kuwaendeleza hawa vijana wadogo ili wapate stadi za kuwaingia kina dada,sijambo sweety.