Niliwamisi, acheni masihara...........!

Sikukuu njema babu.........umepata mjukuu wa kuspend nae kesho?? Au nikutafutie...
 
Natumaini EWURA haitapandisha bei za:-
- vyumba
- nyama choma
- Mnyama
- Serengeti & Malt Guinness!
 
Mhhhhh,

Siku kuu njema.

Ila mkumbuke kunirudishia wajukuu zangu wakiwa salama!!!
Wajukuu zako wako kwenye mikono salama ya babu ODM, usijali.

karibu kwangu iddi lkn kama jasho la mtu laliwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Khaaaa!

Sikukuu njema babu.........umepata mjukuu wa kuspend nae kesho?? Au nikutafutie...
Nawe pia mkuu.....Wajukuu wako kwenye foleni, nataka nijichagulie mmoja mwenye bahati......

Natumaini EWURA haitapandisha bei za:-
- vyumba
- nyama choma
- Mnyama
- Serengeti & Malt Guinness!
Hapo ndipo inabidi tuwahi.........vinginevyo tutatoka kapa.....
 
karibu kwangu iddi lkn kama jasho la mtu laliwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mhhhhh......

Acha IDD na iitwe IDD.....Yaani imekutoa mafichoni??

Karibu sana ndugu yangu...Huku kwetu Chuda kuna thupu za kila aina...Hata ya pweza ipo!!
 
Mzee mwenzangu, supu ya pweza siku ya Idd si kutafutana ubaya? watu wana kiu...............................
 
ah ah ah lol Babuuuuuuuuuuuuuuuu,pweza na nyagi eeeeeeeeeeeeeh?ah ah ah lol sawa nimekusikia nimekufikia ,IDD MUBARAK!!!!!!!!!!!!!!!!
Mhhhhh......

Acha IDD na iitwe IDD.....Yaani imekutoa mafichoni??

Karibu sana ndugu yangu...Huku kwetu Chuda kuna thupu za kila aina...Hata ya pweza ipo!!
 
ah ah ah lol Babuuuuuuuuuuuuuuuu,pweza na nyagi eeeeeeeeeeeeeh?ah ah ah lol sawa nimekusikia nimekufikia ,IDD MUBARAK!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi Pearl, Nyagi ukachanganya na pweza siku ya Eid kinatokea nini?

Mwelimishe babu yako tafazali
 
ah ah ah lol Babu!Nyagi ukichanganya na pweza cku ya idd,ukaweka na kile cha Arusha kibichiiiiiiiiiiiiiii,teketeke unafika pale mahala alipojificha Ankal Gadafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hujambo pearl?
 
Back
Top Bottom