Kuna mmoja alikua mwalimu wangu alikua ananipa madaftari nimbebee afu tunaongozana kupanda ngazi kwenda ofisini, mi niko nyuma yake...[emoji23]Sio swala la kuuliza wale watoto wazuri kama mtani wangu Depal [emoji846]
Na huwez mfanyia ubaya mtu ambaye amekuambia mipango yake unamfinyia mtu ubaya kama amekufanyia ubayaKwani ilikuwa vibaya hao manka kukueleza mipango yao? Au walikuwekea bunduki uwape mitaji ya kufanikisha hiyo mipango? Actually naungana na Depal kukulaumu kwa uliyofanya kwa wazazi wa hao manka na ndugu zao. Ulitakiwa kudeal na hao manka kwa sababu hao ndo waliokuwa target yako. Hao wengine uliowagharimu ni ujinga wako tu wala sio sifa!
Hili jamaa ni zero brain kwa sababu hajafanyiwa ubaya wowote na hao manka. Na mbususu huenda alikula za wote. Sasa mkiwa faragha kama hamzungumzii mipango yenu ya baadaye mnakuwa mnazungumzia nini? Ulijiweka weka kwao wakakuona bonge la future husband kumbe alikuwa kunguru! Ndio maana anaonekana hopeless. Nature ya wale watu ni kusaka maisha. Huenda huyu jamaa hakuwa mrengo huo ndio maana alipata makasiriko bila sababu na akawachukia hao manka na ukanda waoNa huwez mfanyia ubaya mtu ambaye amekuambia mipango yake unamfinyia mtu ubaya kama amekufanyia ubaya
Labda hap wanawake walimsaliti lakin mtu anakuelezea mipango yake unamfanyia kitu kibaya hivyo alafu unapata faida gani, alafu unaanzisha uzi kwa kujisifu unajua watu wanaupeo mdogo sana
we hujui Manka ni wa wapi. we wa wapi?Huyu Manka kilaza 🤣
Ni Manka wa Kaskazini ipi? Maana Kaskazini ina matawi mob.
Hata hamjaonana tayari anampa maza wake simu?? Serious 😂😂
Alafu mbona mnapenda nisingizia mambo ya ajabu? Miw na kina manka wapi na wapi? Wanawake hawa tako wa nini
relax kaka 😂Alafu mbona mnapenda nisingizia mambo ya ajabu? Miw na kina manka wapi na wapi? Wanawake hawa tako wa nini
Mtu anayemwamini Yesu na kushika sheria zake halogwiUnazingua
Kisasi uwa ni cha mtu mmoja.
Deal nae aliyekukorofisha.. sio uingize mpk wazazi wake na nduguze.
Umepata nini sasa katika hayo uliyofanya?
Hujawahi sikia habari za milimani eehee? Mkitupiwa vitu, mseme binadamu wabaya, wakati wachokonozi ni nyie wenyewe
WAEBRANIA hawanywi damu acha ujinga.Tunawapenda Hivyo hivyo hao kina manka na hatuna habari na mtu hao ndio mabinti wa kiisrael na wakiebrania kwa ukanda huu afrika mashariki na kati na ukanda wote wa cecafa!!!
Una utovu wa nidhamu dogoo!!huwezi wezana na kina manka wewe nenda kwa wandengereko huko!!!WAEBRANIA hawanywi damu acha ujinga.
Si nimesema ukweli na imeandikwaUna utovu wa nidhamu dogoo!!huwezi wezana na kina manka wewe nenda kwa wandengereko huko!!!
😂😂😂 watu wenye tatizo la afya ya akili utawajua mapema.Njoo uone hii fantasy Wordsworth [emoji23]
[emoji1787][emoji1787]atakuwa manka wa kuchora[emoji1787]au wamaboksi[emoji1787]Huyu Manka kilaza [emoji1787]
Ni Manka wa Kaskazini ipi? Maana Kaskazini ina matawi mob.
Hata hamjaonana tayari anampa maza wake simu?? Serious [emoji23][emoji23]