Niliwakomesha manka wanne. kamwe hawatanisahau

Niliwakomesha manka wanne. kamwe hawatanisahau

Maana yake ni mwanaume shoga
f4ff6aef976a226c3a08123b076e3e7d-0 (1).jpg
 
Huu sio ujanja. Wanaume wa Dar mna matatizo mengi…
Hapo umeumiza mpk wazazi wake, lazima washtuke.

Kila mtu atabeba msalaba wake, kama huyo Manka alikuchuna ilikuwa utafute namna ya kumsumbua yeye. Sio kuingiza na Familia yake. Andazi wewe
Umenifurahisha!
 
Kumeibuka mijadala kuhusu wanawake wa kaskazini na mambo yao katika mahusiano au ndoa. nachoweza kusema yote au mengi ni kweli kabisa........................

Natoa ushuhuda ambavyo imewahi kutokea kwangu. baada ya kusepa bongo, kwenye mishe na magroup ya whatsapp ambayo mengi ni ya shule na chuo niliposoma waliibuka mademu fulani ambao nao ni wa huko.........................

Ghafla bin vuuu kuna manka mmoja alianza kunitext inbox, mawasiliano yakawa kila mara na hatimaye story za mahusiano zikaanza. baada ya muda tukawa rasmi wapenzi lakini hatujagongana maana tupo mbali...........................

Nikaanza kupewa simu niongee na mama yake, basi mawasiliano yakawa ni kila siku na hatimaye akaniambia nirudi mwezi wa 12 hiyo ilikuwa 2019 ili niende nyumbani kwao. Akaanza kuniwekea mipango mingi, pesa nilikua namtumia japo kidogo sana. Ikafika mwezi wa 12, ndugu na jamaa wakajulishwa wasiwahi kwenda kuhesabiwa kuna ugeni hapo dar. Nikawaeleza narudi tarehe 21 hivyo nitakuwa mgeni wao tarehe 23. Siku ikafika sikurudi nikaingia mitini. Niliacha vilio huko nyuma wasijue cha kufanya.......................

Manka wa pili huyu nilikuwa nafahamiana nae kabla, baadae mahusiano yakaanza tukawa wapenzi kabla ya kuondoka. Nilipoondoka alipunguza mawasiliano, nilipomuambia narudi nakuja kuwekeza huko nilichopata, mahusiano yakarudi kwa kasi hadi nikaitwa mume, mwisho kabisa akasema umri wake unaenda kwa nini tusiwe tu mke na mume? kwa kufosi ndoa nimewakubali.......................

Bila hiyana nikasema sawa, akawapanga kwao ilipofika siku ya kwenda mwaka jana nikaingia mitini na kuwaachia vilio vikubwa...................

Manka wa tatu, baada ya kurudi tu huku na huko kwenye mishe zangu nilikutana nae nikampenda na baada ya kujua anapenda mwanaume mwenye status basi nami nikaamua ku-fake, nikajifanya mshua. Ikafikia kipindi gari sio yangu Ila nilikua namuachia hata wiki atembelee tu, mafuta namuwekea full tank...........................

Akaingia kingi kama vijana wanavyosema, penzi likakolea hadi kutambulishwa kwa dada zake, wadogo zake, rafiki zake. Mwisho kabisa mama yake aliambiwa. Kama ilivyo kawaida mambo ya tufanye hivi au vile yakawa mengi, akasema tuvalishane pete. Nikamwambia kabla ya pete, niende kwanza kwao wanijue alafu aje home wamjue, siku ilipofika wakaandaa shughuli kubwa kwao ya kumpokea mgeni, nikaingia mitini. akaishia kunitumia message za kunitisha kuwa nitaona, nilimjibu kuwa pale kalivari yote yalikwisha hakuna uchawi wala laana yoyote, bwana wetu yesu kristo alishatuokoa............

Manka wa nne, huyu nilishia kumtamanisha sana kiasi cha kumfanya aone maisha kishayapatia. Story zake nyingi zilikua ni kufungua miradi, mara biashara ya viatu sinza, mara duka la nguo. Yote hayo nilimuahidi na alivyoniona jinsi nilivyo akawa anajua pesa ipo nyingi sana kwangu hivyo ameshatusua, kumbe katusuliwa yeye. nilimuachia kilio kikubwa sana asijue cha kufanya............

Nimejaribu kufupisha, ni ndefu zaidi ya hapo. niliamua kuwafanyia hivyo baada ya kujua malengo yao ni nini. mipango kwa nini iwe mingi sana baada ya kujua status yako? kwa nini kukimbilia zaidi miradi, uchumba na ndoa? Nime-date wengi tu lakini sikuona wakiwa na hizi haraka, kwa nini wao tu?
Hakuna wachaga wajinga hivi acha kudanganya..
 
Kwani ilikuwa vibaya hao manka kukueleza mipango yao? Au walikuwekea bunduki uwape mitaji ya kufanikisha hiyo mipango? Actually naungana na Depal kukulaumu kwa uliyofanya kwa wazazi wa hao manka na ndugu zao. Ulitakiwa kudeal na hao manka kwa sababu hao ndo waliokuwa target yako. Hao wengine uliowagharimu ni ujinga wako tu wala sio sifa!
 
Wajanja na maboya wote wapo kila pahala.
Hao mburula wapunguze tamaa.

Sio hao kina manka tu pisi kali nyingi zinapenda atatus, ukiingia kwa gia ya mpenz ya dhati vinakua na dharau sana.
Tusake pesa na kujiongeza kidogo.
 
Sijaona popote walipoweka tamaa bali walivutiwa na ahadi zako wakikuamini kwamba wewe ni Mkweli.

Ulichokifanya wala si ujanja. Ungekuwa mjanja ungepiga na kusepa, siyo kuwahadaa hata watu wasiohusika. Huo ni upuuzi.

Kwa maelezo yako hayo, inaonesha wewe ni tapeli. Huna cha maana ulichonacho. Ndiyo maana unatumia uongo kudanganya.

Sisemi hivi kwa sababu mimi ni wa Kaskazini, nasema hivi kwa sababu mimi ni Mwanaume na bibadamu.
Kiukweli watu wa huko wanapend sana status... Hta ukienda Kwa koo zao wanakupima Kwa namna hyoo. Na wanawake wa huko wanapenda sana ndoa... Yaani Kama ummempenda utapelekeshwa pelekeshwa hadi si poa... So mwamba alijiongeza coz ya haraka yaoooo...mabinti wa kichaga msipende kuforce vitu kbla ya muda muafaka
 
Crazy watu wanatafuta umaarufu kwa kuanzisha threads za kipuuzi [emoji706]Bendera fata upepo,hapo ukute hata hafananii kudate mchaga lmao!
 
Back
Top Bottom