Niliwakomesha manka wanne. kamwe hawatanisahau

Kumeibuka mijadala kuhusu wanawake wa kaskazini na mambo yao katika mahusiano au ndoa. nachoweza kusema yote au mengi ni kweli kabisa........................

Natoa ushuhuda ambavyo imewahi kutokea kwangu. baada ya kusepa bongo, kwenye mishe na magroup ya whatsapp ambayo mengi ni ya shule na chuo niliposoma waliibuka mademu fulani ambao nao ni wa huko.........................

Ghafla bin vuuu kuna manka mmoja alianza kunitext inbox, mawasiliano yakawa kila mara na hatimaye story za mahusiano zikaanza. baada ya muda tukawa rasmi wapenzi lakini hatujagongana maana tupo mbali...........................

Nikaanza kupewa simu niongee na mama yake, basi mawasiliano yakawa ni kila siku na hatimaye akaniambia nirudi mwezi wa 12 hiyo ilikuwa 2019 ili niende nyumbani kwao. Akaanza kuniwekea mipango mingi, pesa nilikua namtumia japo kidogo sana. Ikafika mwezi wa 12, ndugu na jamaa wakajulishwa wasiwahi kwenda kuhesabiwa kuna ugeni hapo dar. Nikawaeleza narudi tarehe 21 hivyo nitakuwa mgeni wao tarehe 23. Siku ikafika sikurudi nikaingia mitini. Niliacha vilio huko nyuma wasijue cha kufanya.......................

Manka wa pili huyu nilikuwa nafahamiana nae kabla, baadae mahusiano yakaanza tukawa wapenzi kabla ya kuondoka. Nilipoondoka alipunguza mawasiliano, nilipomuambia narudi nakuja kuwekeza huko nilichopata, mahusiano yakarudi kwa kasi hadi nikaitwa mume, mwisho kabisa akasema umri wake unaenda kwa nini tusiwe tu mke na mume? kwa kufosi ndoa nimewakubali.......................

Bila hiyana nikasema sawa, akawapanga kwao ilipofika siku ya kwenda mwaka jana nikaingia mitini na kuwaachia vilio vikubwa...................

Manka wa tatu, baada ya kurudi tu huku na huko kwenye mishe zangu nilikutana nae nikampenda na baada ya kujua anapenda mwanaume mwenye status basi nami nikaamua ku-fake, nikajifanya mshua. Ikafikia kipindi gari sio yangu Ila nilikua namuachia hata wiki atembelee tu, mafuta namuwekea full tank...........................

Akaingia kingi kama vijana wanavyosema, penzi likakolea hadi kutambulishwa kwa dada zake, wadogo zake, rafiki zake. Mwisho kabisa mama yake aliambiwa. Kama ilivyo kawaida mambo ya tufanye hivi au vile yakawa mengi, akasema tuvalishane pete. Nikamwambia kabla ya pete, niende kwanza kwao wanijue alafu aje home wamjue, siku ilipofika wakaandaa shughuli kubwa kwao ya kumpokea mgeni, nikaingia mitini. akaishia kunitumia message za kunitisha kuwa nitaona, nilimjibu kuwa pale kalivari yote yalikwisha hakuna uchawi wala laana yoyote, bwana wetu yesu kristo alishatuokoa............

Manka wa nne, huyu nilishia kumtamanisha sana kiasi cha kumfanya aone maisha kishayapatia. Story zake nyingi zilikua ni kufungua miradi, mara biashara ya viatu sinza, mara duka la nguo. Yote hayo nilimuahidi na alivyoniona jinsi nilivyo akawa anajua pesa ipo nyingi sana kwangu hivyo ameshatusua, kumbe katusuliwa yeye. nilimuachia kilio kikubwa sana asijue cha kufanya............

Nimejaribu kufupisha, ni ndefu zaidi ya hapo. niliamua kuwafanyia hivyo baada ya kujua malengo yao ni nini. mipango kwa nini iwe mingi sana baada ya kujua status yako? kwa nini kukimbilia zaidi miradi, uchumba na ndoa? Nime-date wengi tu lakini sikuona wakiwa na hizi haraka, kwa nini wao tu?
Yaani unaumiza kina manka alafu unamtaja yesu?
Labda yesu wa tongareni kenya.
 
Hawajaja mjini kuuza sura.
 
Depal Leejay49 ingawa story ya mtoa mada inaweza ikawa chai, ila inaendana na ukweli, miaka michache iliyopita kabla sijafulia, kuna mdada nlimtongoza, akawa dizaini ananipotezea fulani hivi, alivyokuja jua status yangu hapo mtaani, hee mtu hata hatuna mwezi, ananiambia nimuoe, sijui nini, nilishangaa sana nikasema huyu mtu ananifahamu vizuri? Afya yangu? Background ya familia yangu? My spiritual condition, etc yeye kuona vijisenti akadata, alinishangaza sana..loh Mpaka leo sijamwelewaga, labda hakumaanisha nimuoe kweli, alikuwa ananichota
eenhe, ikawaje 🤗
 
Mkuu trust me haufai kukaa karibu na watoto wadogo wa kike unaweza ukafanya jambo la hovyo sana. Unapoelekea ni kuwa mbakaji au mnyanyasaji kijinsia, trust me.

Hii kitu ni kama ilivyo kwa serial killers, sasa wewe unaweza ukaja kuwa serial rapist au serial molester. Unahitaji tiba Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom