Niliwakomesha manka wanne. kamwe hawatanisahau

Niliwakomesha manka wanne. kamwe hawatanisahau

Unazingua

Kisasi uwa ni cha mtu mmoja.
Deal nae aliyekukorofisha.. sio uingize mpk wazazi wake na nduguze.

Umepata nini sasa katika hayo uliyofanya?
Hujawahi sikia habari za milimani eehee? Mkitupiwa vitu, mseme binadamu wabaya, wakati wachokonozi ni nyie wenyewe
Kuna njia nyingi za kuwakomesha wenye tamaa hiyo ni mojawapo. Hakuna kitu mtu anaweza kunitupia, pale kalivari yote yalikwisha.
 
Kama tatizo ni mali, basi ukitaka kuoa kaoe pwani (tanga na zanzibar). Hawana tamaa ya mali kabisa, wao ni chakula tu kiwepo ndani mengine ni maajaaliwa ya Alah. Ila nao wana mapungufu yao mengi tu.

So wa kuoa manka aoe, wakuoa uzaramoni aoe, wakuoa mbeya aoe, wakuoa mkurya aoe nk. Fanya unachoona ni sawa
 
Sijaona popote walipoweka tamaa bali walivutiwa na ahadi zako wakikuamini kwamba wewe ni Mkweli.

Ulichokifanya wala si ujanja. Ungekuwa mjanja ungepiga na kusepa, siyo kuwahadaa hata watu wasiohusika. Huo ni upuuzi.

Kwa maelezo yako hayo, inaonesha wewe ni tapeli. Huna cha maana ulichonacho. Ndiyo maana unatumia uongo kudanganya.

Sisemi hivi kwa sababu mimi ni wa Kaskazini, nasema hivi kwa sababu mimi ni Mwanaume na bibadamu.
 
Sina pesa sana nina maisha ya kawaida, ila akija demu na tamaa zake basi nitamuongopea sana na kumuahidi mambo makubwa na mwisho namuacha kwenye mataa. nitahakikisha namucha na vilio vikubwa
 
Huu sio ujanja. Wanaume wa Dar mna matatizo mengi…
Hapo umeumiza mpk wazazi wake, lazima washtuke.

Kila mtu atabeba msalaba wake, kama huyo Manka alikuchuna ilikuwa utafute namna ya kumsumbua yeye. Sio kuingiza na Familia yake. Andazi wewe
Wewe ni Manka wa pili au wa tatu?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sijaona popote walipoweka tamaa bali walivutiwa na ahadi zako wakikuamini kwamba wewe ni Mkweli.

Ulichokifanya wala si ujanja. Ungekuwa mjanja ungepiga na kusepa, siyo kuwahadaa hata watu wasiohusika. Huo ni upuuzi.

Kwa maelezo yako hayo, inaonesha wewe ni tapeli. Huna cha maana ulichonacho. Ndiyo maana unatumia uongo kudanganya.

Sisemi hivi kwa sababu mimi ni wa Kaskazini, nasema hivi kwa sababu mimi ni Mwanaume na bibadamu.
Kumbe nawe ni Mtani 🤣

Huyo ni tapeli
Shule alienda kusomea ujinga
Kumbe unaweza kaa na civilized pple na we bado ukaendelea kuwa mjinga. Ndio Braza OP hapo
Kasema yuko zake mambele huko lkn akili sasa 🙄

Me amenikwanza kuwasumbua wazazi wa Manka. Mwanaume rijali?!!!
 
Kumeibuka mijadala kuhusu wanawake wa kaskazini na mambo yao katika mahusiano au ndoa. nachoweza kusema yote au mengi ni kweli kabisa........................

Natoa ushuhuda ambavyo imewahi kutokea kwangu. baada ya kusepa bongo, kwenye mishe na magroup ya whatsapp ambayo mengi ni ya shule na chuo niliposoma waliibuka mademu fulani ambao nao ni wa huko.........................

Ghafla bin vuuu kuna manka mmoja alianza kunitext inbox, mawasiliano yakawa kila mara na hatimaye story za mahusiano zikaanza. baada ya muda tukawa rasmi wapenzi lakini hatujagongana maana tupo mbali...........................

Nikaanza kupewa simu niongee na mama yake, basi mawasiliano yakawa ni kila siku na hatimaye akaniambia nirudi mwezi wa 12 hiyo ilikuwa 2019 ili niende nyumbani kwao. Akaanza kuniwekea mipango mingi, pesa nilikua namtumia japo kidogo sana. Ikafika mwezi wa 12, ndugu na jamaa wakajulishwa wasiwahi kwenda kuhesabiwa kuna ugeni hapo dar. Nikawaeleza narudi tarehe 21 hivyo nitakuwa mgeni wao tarehe 23. Siku ikafika sikurudi nikaingia mitini. Niliacha vilio huko nyuma wasijue cha kufanya.......................

Manka wa pili huyu nilikuwa nafahamiana nae kabla, baadae mahusiano yakaanza tukawa wapenzi kabla ya kuondoka. Nilipoondoka alipunguza mawasiliano, nilipomuambia narudi nakuja kuwekeza huko nilichopata, mahusiano yakarudi kwa kasi hadi nikaitwa mume, mwisho kabisa akasema umri wake unaenda kwa nini tusiwe tu mke na mume? kwa kufosi ndoa nimewakubali.......................

Bila hiyana nikasema sawa, akawapanga kwao ilipofika siku ya kwenda mwaka jana nikaingia mitini na kuwaachia vilio vikubwa...................

Manka wa tatu, baada ya kurudi tu huku na huko kwenye mishe zangu nilikutana nae nikampenda na baada ya kujua anapenda mwanaume mwenye status basi nami nikaamua ku-fake, nikajifanya mshua. Ikafikia kipindi gari sio yangu Ila nilikua namuachia hata wiki atembelee tu, mafuta namuwekea full tank...........................

Akaingia kingi kama vijana wanavyosema, penzi likakolea hadi kutambulishwa kwa dada zake, wadogo zake, rafiki zake. Mwisho kabisa mama yake aliambiwa. Kama ilivyo kawaida mambo ya tufanye hivi au vile yakawa mengi, akasema tuvalishane pete. Nikamwambia kabla ya pete, niende kwanza kwao wanijue alafu aje home wamjue, siku ilipofika wakaandaa shughuli kubwa kwao ya kumpokea mgeni, nikaingia mitini. akaishia kunitumia message za kunitisha kuwa nitaona, nilimjibu kuwa pale kalivari yote yalikwisha hakuna uchawi wala laana yoyote, bwana wetu yesu kristo alishatuokoa............

Manka wa nne, huyu nilishia kumtamanisha sana kiasi cha kumfanya aone maisha kishayapatia. Story zake nyingi zilikua ni kufungua miradi, mara biashara ya viatu sinza, mara duka la nguo. Yote hayo nilimuahidi na alivyoniona jinsi nilivyo akawa anajua pesa ipo nyingi sana kwangu hivyo ameshatusua, kumbe katusuliwa yeye. nilimuachia kilio kikubwa sana asijue cha kufanya............

Nimejaribu kufupisha, ni ndefu zaidi ya hapo. niliamua kuwafanyia hivyo baada ya kujua malengo yao ni nini. mipango kwa nini iwe mingi sana baada ya kujua status yako? kwa nini kukimbilia zaidi miradi, uchumba na ndoa? Nime-date wengi tu lakini sikuona wakiwa na hizi haraka, kwa nini wao tu?
Beta male fantasies.
 
Kumbe nawe ni Mtani 🤣

Huyo ni tapeli
Shule alienda kusomea ujinga
Kumbe unaweza kaa na civilized pple na we bado ukaendelea kuwa mjinga. Ndio Braza OP hapo
Kasema yuko zake mambele huko lkn akili sasa 🙄

Me amenikwanza kuwasumbua wazazi wa Manka. Mwanaume rijali?!!!
Yaani watu wasiohusika wanapata maumivu kwa sababu za kishenzi za mtu mwingine asiyejitambua. Huyo hana akili.

Mimi ni Ero!.
 
Back
Top Bottom