Ila ndio umfananishe na Ben!? dada alikuwa sahihi.
Labda kama mahusiano yenu yamefikia hatua anaweza hata ile kujamba mbele yako, vinginevyo kumfananisha na mkubwa ben inahitaji uwe ushapata mwingne wa sipeya
Ila ndio umfananishe na Ben!? dada alikuwa sahihi.
Laiti ungejua wanawake wenye matege walivyo watamu ungejisifu hata kama hunayo😃😃😃Mimi alishawahi kunitania nina matege nikapiga chini
Mwenzangu mi huwa tunashindana kujamba kabisa!!!Labda kama mahusiano yenu yamefikia hatua anaweza hata ile kujamba mbele yako, vinginevyo kumfananisha na mkubwa ben inahitaji uwe ushapata mwingne wa sipeya
Mwenzangu mi huwa tunashindana kujamba kabisa!!!
lakini hawezi kunitania hivyo aisee
Kuumiza kivipi??Kwenye mapenzi mkiwa siriaz sana hayadumu.
Alaf ni kwanin wanawake huw mnapenda mwanaume wa kuwaumiza angalau hata mara 1 kwa wik?
Maana ukitaka mwanamke akuache km jiwe maliza mwaka ukimtendea mema bila kumuumiza hata kdg
Aiseeee utajuta
Kuumiza kivipi??
Hapana bwana mate ndo mema ni mbolea ya mahusiano
Kweli wanawake wanahuruma had machoko mna mademuNilimtania demu mmoja hivi kuwa anafanana na Steven Wasira, akawa anachecheka tu.
Nadhani nisingekuwa nahonga vizuri ningeachwa muda ule ule.
Kweli wanawake wanahuruma had machoko mna mademu
Jamani sio kweli kabisa!.Ukijitahidi kuwa mwema sana na kujali kwa mwanamke kiasi kwamba akakosa jambo lolote la kulalamika kuhusu wewe umemkosa tyal unaibiwa na wanaojua kumcheat
Aliona umemfananisha na wanaumekwema ndugu zangu? nilichokifahamu ni kuwa wanawake wanapenda sana utani na kutania, ila wao hawapendi kutaniwa... hawapendi kabisa.
enzi nikiwa kijana mdogo nakumbuka niliachwa na mchuchu ambaye tulipendana... sababu kuu ilikuwa si kubwa sana... bali siku hiyo nilimtania na nikamkazia sana kuwa amefanan na Hayati Mkapa kwa sura, yaani mpaka nikawa najua huenda ni baba yake mdogo...
na nikakazia huku nacheka sana... aisee alini mind na ukazuka ugomvi mkubwa sana uliopelekea kununiana na kuachana. nacheka sana nikikumbuka.
happy sunday
Mwanamke anaweza kukusamehe kwa kosa la kumsaliti ikiwa tu utajitetea kupitiwa na shetani na kujishangaa uliwezaje kutembea na mwanamke asie mfikia yeye kwa chochote ila hawezi kuvumilia unapo utweza na kuushusha muonekano wake.Huyo alikua hakupendi mkuu, hizi piss zikipenda hua hazikuachi... hata zikufumanie laivu alafu ukifuka geto ukatae kwamba yule haukua wewe kesi inaisha...🤣
Jamani sio kweli kabisa!.
Amani na kutendeana mema ni nguzo muhimu sana.
Ukiona mwanamke ana ku cheat jua kuna tatizo kwa sababu sisi wanawake ni wepesi sana kuridhika na mtu tukipendwa!.
Laiti ungejua wanawake wenye matege walivyo watamu ungejisifu hata kama hunayo😃😃😃
Njoo nikuzamishie nyoka maana unamuonea wivu demu wangu.Kweli wanawake wanahuruma had machoko mna mademu
Ila huyo kwenye avatar Yako nimemzimia kwelikweli!Nilipiga chini kwasababu sina matege
Dah hiyo sura Yako imekaa kikauzu sana,hivi mkapa alikuwa kaksi sana eeh
Mimi nilikuwa nikiimba ananicheka nilishindwa🙌🏾